Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,822
- 126,643
- Thread starter
- #121
Thank you mr bitoz
= Size ya katiMimi ni wa wastani
Siyo mrefu siyo mfupi
Siyo mnene siyo mwembamba
Siyo team muwa wala kibamia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Siku hii picha inapigwa nilikuwepo. Wakati tunamshangaa Hashim ghafla akatokeza mtu ambaye Hashim akitaka kumuangalia usoni lazima anyanyue kichwa.
Kuna watu warefu
[emoji28] [emoji28] [emoji114] [emoji114]Watu kumi waredu zaidi kuwahi kuwepo duniani - JamiiForums
Nimewaelezea hapo