Androidiiii user application ambazo zinatumika kuficha SMS, Call log, na Contact>>>>Enjoy++

Androidiiii user application ambazo zinatumika kuficha SMS, Call log, na Contact>>>>Enjoy++

One day it can be happen to him

Tunashukuru umechangia..... Ur point will be taken into other topic but not this one.... Kama una amini ulichokiandika ipo siku utatembea uchi belive me. Its because you want to expose each and everything you have..... Go on.....
 
Xote hizo ni njia za michepuko. Baki njia kuu! Period
 
Xote hizo ni njia za michepuko. Baki njia kuu! Period

Kwa mfumo wa maisha ulivyo michepuko haikwepeki.... Otherwise U die....but stick to the advantages of your private things being secured. Kumbuka kuna watu wapekuzi sana bila kuheshimu kuwa hii ni simu ya mtu na ana mambo yake binafsi asiyotaka mtu mwingine ajue. Halafu usichokijua kinapunguza hofu ya maisha. Mkuu we tupia hizo apps uwe huru. Michepuko haikwepeki hata ufanyaje....its like tuition kuongeza ufahamu na ujuzi.....hahahaaaaa
 
It's true!!

Hivi watu wanajua kuficha tu sms za mapenzi??

Kama ndo hivi IQ za hawa watu ni ndogo sana
 
Hizi software zipo nyingi sana ie vault inauwezo wa kuficha sms, contact, fb, video vitu kibao.
 
Hizi software zipo nyingi sana ie vault inauwezo wa kuficha sms, contact, fb, video vitu kibao.

Changamoto kwenye hizi apps ni kupata full applications. Kwa ukitaka zote lazima ufikie premium. Changamoto kubwa ni namna ya kulipia kwani zinataka uwe na credit card. Kibongo bongo tumezoea Liquid money.
 
Hivi watu wanajua kuficha tu sms za mapenzi??

Kama ndo hivi IQ za hawa watu ni ndogo sana
mimi simu yangu nikirudi tu nyumbani inakuwa gadget ya kuchezea games wanangu, nisipoficha msg ninazochat na mama yao si yatakuwa majanga. Kila kitu kina umuhimu na madhara yake, inategemea wewe unataka kuitumia kwa minajili ipi. wewe unayefikiria kuficha msg kwa mke/mume bf/gf mawazo yako yamekupeleka kwenye uhalisia wako.
 
Hivi watu wanajua kuficha tu sms za mapenzi??

Kama ndo hivi IQ za hawa watu ni ndogo sana

Ni kweli kabisa kuna watu akili zao zinaishia kuwaza ngono tu muda wote. Kuna vitu mtu hajatambua kuwa vinahitajika kufichwa katika shughuli zake za kila siku. Kwa mfano kazini kwangu kuna jamaa anatabia ya kushika simu yangu na kupekua pekua vitu halafu anavianika kwa watu wengine. Hizi App zimemkomesha. Kila anachokigusa kinataka Password. Alichoka siku ananiuliza sasa password hapa ni ipi? Nilimuuliza swali la kiutu uzima "Je unafikiri ni kwanini nime set Password katika cm yangu?"... Hapo ndio ulikuwa mwisho wa kupekua simu yangu. Faida ya kusecure information zako ni ni zaidi ya huyo anefikiria uzinzi muda wote..... Pia inaepusha ugomvi wa kijinga.
 
Back
Top Bottom