Android Tv Box......

Kuna TV yenye kupokea OS ya windows?
 
Kuna TV yenye kupokea OS ya windows?
chukua desktop eka tv card connect desktop na tv utapata tv yenye windows.

kama una hela kama milioni 100 ipo surface hub. sema ni kubwa sana 84 inch

ila kuna tetesi surface all in one inatoka muda si mrefu huenda ikawa ni kama tv
 
Thanks maelezo mazuri ila naomba kujua kitu kwa iyo, iyo Tv box kuna sehemu ya kupachika line za simu au una access vp livestream au application ka ulivyosema unaweza kuweka watsap,facebook ?
 
Thanks maelezo mazuri ila naomba kujua kitu kwa iyo, iyo Tv box kuna sehemu ya kupachika line za simu au una access vp livestream au application ka ulivyosema unaweza kuweka watsap,facebook ?
unatumia wifi, au pia unaweza tumia modem. sema sina uhakika kuhusu modem kama inakubali out of box au hadi ueke software
 
Kifupi Android box na stick zinabadili TV yako kuwa Smart TV.
 
Kaka zipo poa tu!!...maana zimeundwa special for livestreaming mi naitumia na nipo MPANDA-KATAVI huku hatuna hata 4G ni 3G.

Aisee ww umefanyaje,mm ninayo na nimejaribu kutumia wifi lkn inasearch tu muda wote,ni kawaida kutumia muda mrefu kutafuta network?
 
unatumia wifi, au pia unaweza tumia modem. sema sina uhakika kuhusu modem kama inakubali out of box au hadi ueke software

Mm ninayo na nimejaribu kutumia wifi lkn inasearch netwrk muda wote mpk nimechoka natamani kuipiga nyundo ife tu.
 
Mm ninayo na nimejaribu kutumia wifi lkn inasearch netwrk muda wote mpk nimechoka natamani kuipiga nyundo ife tu.
toa maelezo zaidi, hiyo wifi haidetect? au unaiona huwezi kuconect? umefata niia gani kuconect hio wifi? unatumia nini kurusha wifi? aina gani ya box?
 
Aisee ww umefanyaje,mm ninayo na nimejaribu kutumia wifi lkn inasearch tu muda wote,ni kawaida kutumia muda mrefu kutafuta network?
Ni ya aina gani na uliichukulia wapi? Nazitafuta sana hizi..! Nimenunua Ebay mara mbili na hazijafika.
 
Asante umenifumbua macho na mm maana nilikua nipo gizani
 
Magomeni kubwa. Magomeni ipi upo nije nizione mm nipo magomeni mapipa..
 
Mkuu we mkali na upo vizuri yaani hongera kwa kuana ujuzi!!!
 
Kikovipi hiko??
 
Hapa najifunza mengi. Ni muhimu sana kwenda na wakati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…