Android Tv Box......

Android Tv Box......

Promenthous

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2013
Posts
353
Reaction score
432
Habarini Wakuu......Wenye ujuzi na Android Tv Box,vpi kuhusu ufanisi wake kulingana na internet yetu na maduka gani zinaweza kupatikana na bei zake.....naona ebay zinarange 3O-80$
 
Attachments

  • android tv box.jpg
    android tv box.jpg
    66.5 KB · Views: 286
  • android tv box 2.jpg
    android tv box 2.jpg
    54.9 KB · Views: 273
internet itabidi utafute yenye ping ndogo na watu wanatumia kodi tayari tanzania na ipo fresh.

zipo website kama kaymu naziona zinauzwa around 200,000 tena brand zisizojulikana.

kama una uwezo wa kuspend zaidi ya 100,000 zunguka mjini tafuta desktop zenye maumbo madogo yenye hdmi ifanye iwe tv box. ila ushauri wangu usispend hadi 200,000 kwenye box la android ila dola $30 hadi $60 ni reasonable.
 
Hapo kwenye desktop kuna issue ya ulaji umeme. Hii tv box nikiikadiria inatumia kama 10w-30w
 
inategemea na aina ya processor mfano magomeni zipo desktop za 4130T ambazo tdp yake ni 35W na ikiwa idle inakula umeme mdogo zaidi ya huo. pia zipo desktop za atom ambazo TDP Yake ni 2W tu even taa inakula umeme kuliko hizo desktop nyengine zipo kwenye umbo kama modem tu.

kuna advantage kubwa ya kuwa na x86 device hasa kama una mpango wa kucheza games au kufanya emulation. ukiwa na full browser kama firefox au chrome utafanya mambo mengi ukiangalia mpira huwi limited kwenye apps tu una njia nyingi kuanzia vlc, stream za online, kodi, acestream, sopcast, kodi nk pia x86 inaingia android hivyo unafanya dual booting incase utahitaji android tena unakuwa na choice kama remix os na phoenix os ambazo zipo optimised kwenye vifaa visivyo vya touch au unaweza kuweka android tv kabisa.

bei pia hazitofautiani sana zipo stick za atom kibao chini ya dola 100 na zipo kali za around dola 100 zenye option za ku expand.

hizo za magomeni ni lenovo m73 zinauzwa 300k
Lenovo-ThinkCentre-M73-10AY001RUS-Tiny-Desktop-29GHz-Intel-Core-i3-4130T-Processor-4-GB-RAM-500-GB-Hard-Drive-No-Optical-Drive-Windows-7-Pro-64-bit-Black-0.jpg
 
Hiyo 35W ni power ya microprocessor (cpu chip) bado kuna harddisk, Fans, Cd/dvd rom. Kiufundi na kiuhalisia android Tv box, dvd player, decorder vina consumption ya kati ya 10w to 30w net lakini kwa desktop Overall power kuwa 35 ni ndoto, hata kama inatumia adaptor au external powersupply
 
mkuu acha ubishi unajua asus zenfone 2 ile simu inatumia x86 processor? ambayo inatoka familia ya baytrail? sasa kama simu ina processor inayotumika hadi kwenye desktop imewezaje kuvumilia?

maisha yamebadilika intel research zake zote zimehamia kwenye kupunguza ulaji umeme processor zake za computer sasa hivi core m inakula watts 4 tu wakati hakuna processor yoyote duniani ya simu inayoipita perfomance, even chip za apple za tablets zinasubiri kwa core M.

angalia hii picha hii ni compute stick ya core m ambayo ina nguvu kuliko mashine za core 2 duo/quad na inacompete na i3/i5 za 1st gen za desktop au 6th gen i3/i5 za laptop.

cs_01-680x384.jpg

kidude kidogo kuliko simu kama hicho unategemea kike watts ngapi?

tuje hio desktop ninayoisema mimi ya 35w hio ni TDP tu cpu za intel zikikaa idle zinakula umeme kidogo sana na desktop ndogo hazina cd rom, zinatumia hdd/ssd za inch 2.5 na ram za low power, anandtech wametest system nzima ya i3 4130t inakula watts 22 tu
69686.png

unapotumia desktop mambo ya kawaida inakuwa near idle vitu kama kuangalia video, kustream, kodi, etc itakuwa kwenye load itakapoanza kufanya mambo makubwa kama gaming.
 
Habarini Wakuu......Wenye ujuzi na Android Tv Box,vpi kuhusu ufanisi wake kulingana na internet yetu na maduka gani zinaweza kupatikana na bei zake.....naona ebay zinarange 3O-80$
TV box ni nini? Kazi yake ni nini? Hii inatumiwa na maguru wa net tu au hata watu wa kawaida? Hapo mmeongea mengi nasikiliza lakini sielewi....ushamba gunia la chumvi. Hebu nitoeni matongotongo machoni
 
ni kama deki mkuu, wakati wewe kwenye deki unaeka cd hii tv box unakuwa unahifadhi mambo yako humo humo huna haja ya cd pia unaweza ukachomeka flash na external hdd.

yenyewe inakuwa kama simu na inaingia application za simu kama youtube, facebook na app zote unazozijua kwenye simu za kawaida kama hizi tecno na samsung galaxy.

hivyo fikiria ukitumia simu unachokiona kwenye kioo basi kile kile utakiona kwenye tv yako. utofauti wake na simu unakuja hizi tv box wamezibadilisha uweze kutumia remote badala ya touch ya simu.

new_fire_tv.jpg
 
mkuu acha ubishi unajua asus zenfone 2 ile simu inatumia x86 processor? ambayo inatoka familia ya baytrail? sasa kama simu ina processor inayotumika hadi kwenye desktop imewezaje kuvumilia?

maisha yamebadilika intel research zake zote zimehamia kwenye kupunguza ulaji umeme processor zake za computer sasa hivi core m inakula watts 4 tu wakati hakuna processor yoyote duniani ya simu inayoipita perfomance, even chip za apple za tablets zinasubiri kwa core M.

angalia hii picha hii ni compute stick ya core m ambayo ina nguvu kuliko mashine za core 2 duo/quad na inacompete na i3/i5 za 1st gen za desktop au 6th gen i3/i5 za laptop.

cs_01-680x384.jpg

kidude kidogo kuliko simu kama hicho unategemea kike watts ngapi?

tuje hio desktop ninayoisema mimi ya 35w hio ni TDP tu cpu za intel zikikaa idle zinakula umeme kidogo sana na desktop ndogo hazina cd rom, zinatumia hdd/ssd za inch 2.5 na ram za low power, anandtech wametest system nzima ya i3 4130t inakula watts 22 tu
69686.png

unapotumia desktop mambo ya kawaida inakuwa near idle vitu kama kuangalia video, kustream, kodi, etc itakuwa kwenye load itakapoanza kufanya mambo makubwa kama gaming.

Ndugu, sio ubishi naongelea reality. Hivyo vitu huko mbele kwa wenzetu vipo tu hata desktop computer kama hizo ambazo zinaingia hata kwenye mfuko wa suruali zipo huko hata kama ni za majaribio.

Ishu hapa ni hapa bongo kupata desktop yenye specs hizo.

Cpu
Gpu
Ram
Hdd/ssd
Fan
Audio amp

Halafu iwe na overall power ya 35W.

Kama ni kuagiza huko nje poa.
 
mkuu nimekwambia zipo magomeni lenovo m73 small form factor picha nimeeka juu zina i3 4130T ambayo nimeeka ulaji mzima wa system kama walivyoreview anandtech wa 22W.

na sitashangaa kuona hizo box zinazouzwa madukani nyengine zinatumia atom sababu zinaingia windows na android zote zote unaweza ukanunua box la android la atom ukaeka windows vile vile.
 
tutoane ushamba jaman.. kuuliza si ujinga, wengine tupo vijijini hata mjini hatujawah fika... hzo application unakuta zmeingizwa tayar au? na kama nataka kusearch labda , hyo remote ina sehemu ya kuandika herufi au? manake nimeona picha hapo juu naona chenga tu
 
Ni kama umeconnect simu yako ya android kwenye TV screen yako. Hivyo kama ni kuType kupitia hiyo android tv box unaweza kuunganisha Keyboard na mouse
 
Mahali tunakoenda sasa ni karibu kabisa na mwisho...kwenye adroid yangu napata TV stations kwa mamia kupitia Mobdro. Mimi ni mpenzi wa mpira na hapo nikikosa kwenye ving'amuzi sina shida ya kuangalia Premier Legue nk. Je, kuna features za TV kwenye hii kitu ili niwe na options za kutizama channels nizitakazo na kwa wakati wangu? Nafanyaje?

Jamani ushamba mwenzenu ndiyo maana nauliza uliza.
 
Majibu wengine washakupa.

Ila kwa wanaopenda ku~tinker na electronics, kuna kiji~computer kinaitwa OrangePi PC, kinauzwa $15 Alibaba, ukinunua kila unaweza chomeka kwenye display yako kupitia HDMI na ukakitumia kama computer kama ukiamua kuweka Linux, lakini pia unaweza kitumia kama Android TV, ukiinstall Android na kuweka software zake, kinapiga Android vizuri tu kwa kutumia Mali400GPU, sio the best GPU lakini inaweza peleka 1080p video playback bila shida.
 
Mahali tunakoenda sasa ni karibu kabisa na mwisho...kwenye adroid yangu napata TV stations kwa mamia kupitia Mobdro. Mimi ni mpenzi wa mpira na hapo nikikosa kwenye ving'amuzi sina shida ya kuangalia Premier Legue nk. Je, kuna features za TV kwenye hii kitu ili niwe na options za kutizama channels nizitakazo na kwa wakati wangu? Nafanyaje?

Jamani ushamba mwenzenu ndiyo maana nauliza uliza.
tv box za android unaeka mobdro kama simu tu na app zako unazopenda
 
Back
Top Bottom