Wick
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 8,312
- 12,196
Leo nilikua napitia security system ya simu yangu nilikua nataka delete some security credentials kufika device adminstrators nakutana na hizi Find my Phone imewekwa tick na hii android pay sasa nikikumbuka sijawahi ruhusu Find my Phone wala hiyo android pay!..
Halafu mara ya mwisho si ilikuwa inaitwa android manager hii Find my Phone?.
kwanza ni kitu gani hii android pay!? kwa wajuvi!..
Halafu mara ya mwisho si ilikuwa inaitwa android manager hii Find my Phone?.
kwanza ni kitu gani hii android pay!? kwa wajuvi!..