ok mkuulipo file ambalo ni converted kabisa kwa simu yako ila inahitaji account kupata so ask mwenye account ya combinefile akusaidie link yangu ime expire mwezi jana or kama uko willing kuwalipa ni sawa unanunua package kwao ni ni 13usd
Karibu custom Rom,hii ni s6 nimeweka rom ya s8..hatarUkifanikiwa ulete mrejesho. Mimi nataka ni upgrade kutoka android 6.0.1 kwenda 9 natumia S6
Tafuta custom rom nzur..utaenjoyWakuu habari zenu.
Naomba msaada juu ya ku-update samsung s7 edge kutoka android 6 hadi 8(oreo) kwa custom room.
Lengo la kuomba ni kupata hiyo update kwa sababu hii simu ina verzon brand na sio international version, hivo nashindwa kuupgrade kwa njia ya kaiwaida inayotumika na wengi.
Nimejaribu kuserach google nimeona solution ila ni complicated sana
NOTE: nataka kufanya hiyo update bila ku-root simu
InapatikanajeTafuta custom rom nzur..utaenjoy
Una s6 model gani?Inapatikanaje
Naiwekaje
Mi nataka android 8 au 9
SM G920TUna s6 model gani?
SM G920T