Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,221
- 2,425
Baada ya miaka mingi kupitia hatimaye Google wamefanya Mabadiliko kwenye app ya phone call kwa Watumiaji wa simu za Android.
Lakini pia kwa Watumiaji wa iphone walifanyiwa Mabadiliko kupitia ios 26 , lakini mpaka leo ๐ mtumiaji wa simu ya iphone akipigiwa simu hakuna sehemu ya kukata ๐ au nawasinigizia aiseeeh.
Lakini android unaweza kukata simu ya mtu aliyekupigia nani katisha kati ya iphone na Android tuachie maoni yako??
#bongotech255