hapana mobogiene sio kirusi bali ni App ambayo nayo ni kama play store. Ndani yake utapata App za kutosha, wallpapers, games, na youtube video ktk ubora mzuri tu.
Na ukipata utajuta kuchelewa kuipata coz ipo vizuri sana.

Hii app haipatikani play store kwa hiyo ili ni-install inabidi niende kwenye settings niruhusu app nje ya play store, sasa hii si inaweza kuwa ndio nimefungua mlango kwenye suala zima la security, unaionaje hii mkuu, kuna usalama hapa?

mimi sidhani kama hii App inamadhara ktk simu yako. Kama una wasi wasi sana hakisha una anti virus imara. Au icheki hiyo tubemate kupitia browser ya operamini utaipata original.
kudownload lyrics!! Am not sure kama kuna App ila web zipo Nyingi tu. Just google tu... Ila za wa bongo nadhani ktk nyimbo 100 utapata lyrics ya nyimbo moja.
Mkuu Hans pol,mi simu yangu ni nokia x nimeweka app ya whatsapp lakin kila mara inaniambia kifaa changu hakisapoti hiyo app hapa sijui nifanyeje mkuu?
Harafu pia simu yangu inakuwa haina uwezo wa kucheza video za mtandaoni ikiwemo youtube inaload tu muda wote bila matokeo yoyote hapo napo nifanyeje mkuu?

Naombeni msaada wa app ambayo itaweza ku save wifi password baada ya kuwekwa kwa mara ya kwanza. Yaani baadae nikitaka kujua ile password iliyowekwa pale niijue.... Plz