Android mega thread; Maswali, Tips and Tricks, Kila kitu kuhusu android

Tapatalk 2 ni nn hasa?

Q: What is Tapatalk?

A: Tapatalk is a mobile app built specifically for forum access. Different from mobile skin or mobile version that comes with the forum system, Tapatalk allows user to have a unified interface to access multiple forums at the same time. With million of Tapatalk users, your forum can be discovered by potential new members thru Tapatalk Network and our ranking and recommendation system.
 
kwa entertainment:
mie ni mpenzi wa magemu nimevutiwa na need for speed, tangu nilitumie hili game nnashinda nalo muda mwingi, tatizo lake linakula space: inabidi uwe na free space angalAu 1Gb,

games zingine ni:
1. pool master pro (free at play store)
2. ea sports tetris mania (inanikumbusha game utotoni)
3. angry birds
 
Best Playstore Apps kwangu ni hizi hapa:

1.Shuttle Music Player
Hii ni app ya kuplay nyimbo.Iko very simple,not memory consuming.

2.360 Security
Hii ni Antivirus poa sana.Huwa kuna tatzo la baadh ya simu kujaza logs/junk files (Huawei Y300 mfano wake)kwenye memory na mwshowe ukidownload kitu unaambiwa no more space.Ila hii itakuondolea hizo zote.

2.Photogrid,Photo Editor
Ni app ya ku-edit picha.Ina photo effects nzuri sana

3 Shazam:App nzuri sana kwa music fans.U dont need to be frightened umeskina nyimbo kali na hujui nani kaimba.Shazam will do it for u.Inaskiliza nyimbo,na inakwambia ni ya Nani.

4.WhatsApp,Instagram,Badoo,Skype,Facebook Mobile hizi ni must-have apps km we ni mtu wa social networking.

On top of amazing features,hzo APPS ZOTE ZA BURE kwenye playstore!
 
GO sms Pro sikuhiz ina lag,pia Ads zna-pop kwa speed mpk zinakera.
Otherwise UI yake ni poa sana!

True. Ila mie sijanotice hilo. Maybe kwa sababu nimeblock ads from google. Na nimenotice hilo kuwa ina lag mostly.
 
Ni application gan kwaajili ya kuspy sms za simu nyingine ambozo naweza kuzipata kwenye playstore
 
Wakuu mimi nina tatizo moja, baadhi ya apps nikijaribu kuinstall inaniletea hii error: there is a problem parsing the package. natumia android 4.2.2 device, msaada tafadhali cc njunwa wamavoko, chief-mkwawa
 
Last edited by a moderator:
Kuna application zifuatazo
VAULT:Hii inakusaidia kuhide apps,sms,photos and videos hapa ni full privacy na ukipata premium kuna baadhi ya apps mtu akiifungua inakuandia the application couldnt open,
GO Launcher:Hii inaifanya android yako iwe na unique features and outlook,very nice app
ITRIAGE:Hii inakusaidia kujua unasumbuliwa na tatizo ugonjwa gani kirahisi na inakudirect dawa na treatment
MUSIC MANIAC:Inakusaidia kudownload audio music easily
thanks guys enjoy
 
Wakuu mimi nina tatizo moja, baadhi ya apps nikijaribu kuinstall inaniletea hii error: there is a problem parsing the package. natumia android 4.2.2 device, msaada tafadhali cc njunwa wamavoko, chief-mkwawa

Kwanza hakikisha ume-enable non market apps kwenye settings
Baada ya hapo waweza install dropbox ktk simu yako afu ukazi-upload hizo apps huko hata ukitumia PC afu ukazidownload kwenye simu yako ndani ya drobbox

Alternatively waweza jitumia attachment kwenye email afu ukadownload na kuinstall

Hizo za juu nimewai kuzisoma Online japo sikuzijaribu ila nahisi zitafaa lkn mm Tecno P3 ilikuwa inatoa mesej hiyo nilichokuwa nafanya niliinstall UC Browser afu kwa google na search neno e.g whatsapp+ apk na download sasa UC Broser ina download manager as soon as ikimaliza una naviget kwenda download manager ya UC afu unafanya ku-open ita-install bila shida

Lkn ukisema uziweke kwenye USB afu udumbukize kwenye simu zitakaaa

Jaribu hizo mkuu mm moja wapo imenisaidiaga sana hiyo ya UC browser niliisoma somewhere
 
uc browser ndio natumia kaka mixer mobogenie, ila zote hazijafanikiwa kutroubleshoot hili tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…