Android jellybean users post your home screen

Samsung GT-i8190
 

Attachments

  • 1381781171905.jpg
    43.9 KB · Views: 161


SlimBean with Nox icons and DashClick Widgets

TIP:- Dark theme au Dark wallpaper inasaidia kupunguza katumizi ya Battery
 
naskia inakaa sana na chaji

Ndio Mkuu maana Vioo vya Amoled ni vyeusi asilina kwamaa na hiyo sehemu inayo kua nyeusi katika simu sehemu hiyo kioo kinakua kimezima, sasa unapokua na dark wallpaper inamaansha kioocha simu kina kua hakifanyi kazi sana na hii unapunguza matunizi ya Battery maana kioo kina kula Battery kwa zadi ya 70%, angalia hii ni Real Dark Slim imenisaidia kuongeza masaa 2 zaidi ya kawaida.




 
Tecno M3 with Jelly Bean 4.2.2
 

Attachments

  • 1382263133742.jpg
    20.9 KB · Views: 111
  • 1382263154565.jpg
    24.7 KB · Views: 89
  • 1382263168574.jpg
    24.7 KB · Views: 90
  • 1382263182193.jpg
    25.2 KB · Views: 99
Hatimae na sisi tumeingia na JELLBEAN ya mchina na iko upgradable kwenda kitkat japo siitaki




Na net nakamua BURE na DROIDVPN
 
sasa hiyo kitu ya kuongeza mda wa betri kwa black Theme ninaitaji features gani kukipakua?
Na hizi LAUNCER,THEME, ndo nn tena hivi?

hadi screen iwe amoled na hapo juu ulisema kitu mchina. ikiwa ni lcd mambo yanakua vice versa black inakuwa deep brown na battery kwa wingi inaenda
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…