kali linux
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 2,301
- 6,117
Bado sijaona hoja yako inamake sense, kama kweli wewe ni mbobezi ungeweza kucounter-attack hyo requirement ya kuturn-off develover option uende ukadukue mihela yao..Hello bosses and roses....
"Security by obscurity" is for cowards, kwa sababu inaprove kwamba kuna loopholes nyingi na rahisi kupatikana kwenye hio system endapo nitajua...
Una argue kitoto sana, anyway....Bado sijaona hoja yako inamake sense, kama kweli wewe ni mbobezi ungeweza kucounter-attack hyo requirement ya kuturn-off develover option uende ukadukue mihela yao...
Hebu tupe na wewe app yako playstore tukusahihishe. Maana kuongea bila kujua kwa nini wao (hata kama wengine hawafanyi) wamezuia. Tuma link tuone app zako kaka. AsanteUna argue kitoto sana, anyway....
Mambo ya ubobezi wangu yaweke pembeni, hapa sio mahala pake
Nikuulize swali, mbona M-PESA app inaruhusu Developer options? Kwa nn NMB wazikatae?
App zote za mobile banking hata NBC sijaona kama wanakataza mtu kuwasha developer options kwenye simu yake.
Mmmh mimi la saba sijaelewa kitu apaHello bosses and roses....
"Security by obscurity" is for cowards, kwa sababu inaprove kwamba kuna loopholes nyingi na rahisi kupatikana kwenye hio system endapo nitajua au kuweza...
Stick to the topic.Hebu tupe na wewe app yako playstore tukusahihishe. Maana kuongea bila kujua kwa nini wao (hata kama wengine hawafanyi) wamezuia. Tuma link tuone app zako kaka. Asante
Najua humu wamo wataona wafanyie kaziUmewasilisha dukuduku lako kwao ?
Nadhani kabla ya kutushiana misuli ungewacontact wahusika huenda wangekupa sababu au wangerekebisha accordingly ukizangatia wewe ni mteja wao na mteja ni mfalme...
Hii update mpya inaKERASio mbobezi wa haya mambo ila napata shida ku login ktk hii app tangu wai update...nime update lakini inanigomea kuingia. Kila nikiweka nywila napata ujumbe " sorry request failed. Please try again later"
Tatizo ni nn wataalamu...inakera sana
Topic utumboStick to the topic.
Ukifungua uzi kwa lengo la kuomba kazi zangu nitakupa link.
Lkn kwa sasa stick to the topic
Hata NMB Mkononi ya zamani haikuwahi kugoma, hii updated ya sasa ndio inagoma, inadai uzime dev options.Developer option kwangu ipo enabled lkn app ya tigo pesa, mpesa na crdb hazijawahi goma.
Bado huna hoja, kajifunze zaidi kuhusu cyber-security uje tuanze kubishana kwa kujenga hoja.Una argue kitoto sana, anyway....
Mambo ya ubobezi wangu yaweke pembeni, hapa sio mahala pake
Nikuulize swali, mbona M-PESA app uloitaja inaruhusu Developer options? Kwa nn NMB wazikatae?
App zote nlizotumia za mobile banking au mobile money hata wenzao NBC sijaona kama wanakataza mtu kuwasha developer options kwenye simu yake.
Kumkataza user asiwashe developer setting kisa anatumia app yako ni 'poor system design' na kuingilia matumizi personal ya mtu kwenye simu yake.
Usiishi kizamani maisha yanabadilika, namna mpya za utendaji kazi zinabadilika na kuboreshwa kila leo, better to unlearn and relearn things dailyHata NMB Mkononi ya zamani haikuwahi kugoma, hii updated ya sasa ndio inagoma, inadai uzime dev options.
Simply, kwa nini haujibu maswali unayoulizwa?Bado huna hoja, kajifunze zaidi kuhusu cyber-security uje tuanze kubishana kwa kujenga hoja.
Kila anayetengeneza mfumo ana namna yake ya jinsi ya kujilinda na cyber-attacks, Develover option whether turned on/off haina chance yoyote ya kuaccess source code ya app so kama unadhani wao wameweka hyo requirement kwa nia ya kukuficha wewe mdukuaji umeula wa chuya
Narudia tena hilo ni takwa la kimfumo especially kwa wanaocode kwa multiplatforms kutoka kwenye single codebase, M-pesa nao hawaruhusu kuingia ukiwa umeroot simu, that doesn't literally mean ukiroot simu utaweza kuhack app yao, big NO.
Umeng'ang'ana na loopholes za kufikirika, zipoint moja kwa moja hzo loopholes unazofikiri wewe jamaa wanazihofia
Nilianza kukuona mjanja lkn kadri unavyoendelea naanza kukuona bonge la mshamba bila shaka ni mmoja wa wale wenye idea nyingi lkn bado mnazifanyia kazi kinadharia kwenye mabichwa yenu, anza kuzama field mzee, utamu ni mwingi sana huku.
Usichanganye rooting na dev optionsUsiishi kizamani maisha yanabadilika, namna mpya za utendaji kazi zinabadilika na kuboreshwa kila leo, better to unlearn and relearn things daily