Mediocrist
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 1,709
- 994
click proxy list
Nime click zimekuja sjafahamu sasa nazifanyia kazi ki vipi mkuu
click proxy list
umeshawahi kutumia proxy hata siku moja? una shida gani ya proxy?Nime click zimekuja sjafahamu sasa nazifanyia kazi ki vipi mkuu
Uzuri wa Orbot inatumia device "native" VPN. Na ukitaka u'bypass zile "unusual traffic" una'activate "Bridges" na kuna recommended bridge inayofanya kazi fresh tu na browser zote na unaweza chagua "bridge" unayoona (baada ya kuitumia mara kwa mara) inafaa zaidi.kuna vitu hivi inabidi uvielewe
-kuna transparent na anonymous proxy, ukitumia proxy transparent haita unblock kitu mpaka iwe anonymous
-kuna app zina ignore proxy ukieka haziathiriki mfano hio whatsapp
ushauri wangu komaa na orbot, nimeshaitumia mimi itafanya kazi hio bila wasiwasi, inafanya zaidi vizuri ukiwa na root, pia vpn inaweza saidia.
Asante wakuu
@Mkwawa @king_shaat
Nmeweza kutumia orbot
![]()
Ila speed yake majanga
Download speed haizd 8kb/s
zipo features za root only ila sidhani kama zinalimit speed, pengine ni bridge/proxy aliochagua ipo busyView attachment 444625kama unaweza ona, utaona hapo ni zaidi ya 8Kbps na ni kama 25 seconds baada ya kuiwasha. Labda ni kwa sababu nili'root device yangu sina uhakika kama inaongeza ufanisi wake au la ila najua inanipa iwezo wa ku'tweak device.