Android application gani inayoblock calls incase number iko blacklisted bila kuireject??

Hili haliwezekani kwa sababu App iko kwenye simu yako inabidi mpaka connection ifanyike ndo iweze ku "block" kwa kukata.
 
so hamna hata ambayo inaweza kufanya simu ikawa inaonekana kama inatumika?
 
Nadhani Galaxy Note II inakuja na hiyo feature built in, sijui kama kuna App inaweza kufanya hilo.
 
download kaspersky mobile security inaweza kuifanya iwe bizy
 
Back
Top Bottom