deogan
JF-Expert Member
- Sep 7, 2011
- 399
- 46
baada ya watu wengi nikiwamo na mimi kusubiri kile wengi tulichokuwa tunategemea, kuwa google watazindua lini android 5.0 keylime pie, naona wameenda tofauti kabisa na matarajio ya wengi baada ya kuweka mdoli/sanamu mpya nje za ofisi yao iliyo katika umbo la chocolate maarufu ya kitkat kuashiri ndio toleo jipya la android inayofwata