Nazjaz
JF-Expert Member
- Jan 20, 2011
- 7,775
- 9,202
Mi sijaona Symbian alichomzidi Android.
mi nokia ina boa
Mi sijaona Symbian alichomzidi Android.
Kwa nini haitafikia?Hii haitafikia malengo...
No 2014 inaingia katika devices zote ambazo Zinakimbiza Android!Mkuuu Mbona Kwa Habar Nlizo Nazo Mbona Hii Simu Ni Developers Version Kama Nokia 950 Na pia Kuna Version Ya Nexus For Developers....
so It Means Haitakua shiping Device
This is your opinion out of a thin air! IOS ina programmers wengi tu na inatumia O'C ambayo haina tofauti sana na C/C++ Ubuntu Touch inatumia QT/QML na tayari ina programmers wa kutosha. Android kutumia java haihusiani na uzembe wala watu kujua Java.Virtually I think.
Tatizo ni developers, wengi wanaijua Java as the only language, kwa hiyo ili kupata apps elfu kumi kwa simu moja inabidi uwatumie developers wazembe.... more money for Oracle. Ni kibiashara zaidi.
Android sio Linux in strict sense kwa kuwa hata Kernel inayotumia ni modified Upstream Kernel na UI ni Java. Ni Kind of Hybrid. Ubuntu Touch itakuwa full Linux in the sense of the word!Ila tu, kwa kuwa wanatumia Java as a virtual machine only, sidhani kama inadisqualify Android kuwa linux, the core and even the shell bado ni Linux.
Nokia ipi unatumia? Panda Nokia Lumia 920mi nokia ina boa
Nokia ipi unatumia? Panda Nokia Lumia 920
Kuna Mtu ana experience na Tizen?
Kwa nini haitafikia?
Kuna Mtu ana experience na Tizen?
Android heshima yenu popote mlipo. Leo kwa mara yangu kwanza kuishika na kuipekua kidogo Samsung Galaxy Note II, hii simu ni balaaa. Android mnatisha, mmenifanya simu yangu Nokia 311 nione si kitu. Aisee nikipata ela Nokia mtanisamehe.
Mi sijaona Symbian alichomzidi Android.
android is the best mobile os so far, sijawahi penda os kama nnavyoipenda android, windows, ios izo tupa kuleeeee
I see. Lakini bado siku 22, anything can change anytime!Michango naona imepungua kasi, started well ila hapa Kati Kama vitu vimesimama... Sijui Kama wataraise 32m
Sijaifuatilia. Ila salute kwa Mark Shuttleworth na Canonical. Wao wakiingia sehemu mambo yanaenda opposite...yanakuwa Mazuri! :smile-big:Was excited about tizen mpaka Samsung alipoingilia... Excitement yote ikaisha
Kumbe tuko pamoja mkuu...nilijua ni mimi mwenyewe ndo mpenzi wa Android.