Android 4.3, Jelly Bean

Android 4.3, Jelly Bean

Kutumiwa na watu wengi hakumaanishi kuwa ni bora.

umenimisquote, sikumaanisha inatumiwa na watu wengi, nilikuwa namjibu nurbert kwa swali, akidai symbian is the best. kuhusu technical aspects kuhusu ubora soma replies za Stefano Mtangoo, chief-mkwawa, na wengine. mimi sina la kuongeza. mie kama mtumiaji wa kawaida nimetumia device za symbian, ios, windows mobile ila kwa android najisikia huru sana. (huo ni mtazamo wangu kuhusu experience ya vifaa nilivowahi kutumia) hapa natumia android 4.2.2 jelly bean kwenye galaxy s2, hajinifanya niwaze kuhama, yatosha.com
 
Last edited by a moderator:

nurbert nna nokia e6i sema nikugawie maana niliacha kuitumia muda mreeefu ipo pambo
 
Last edited by a moderator:
Msaada kuuograde hii huawei impulse yangu ina android 2.3 kupata hiyo 4.3 msaada wadau

Kama hakuna official updates, the tafuta custom Roms. Go to XDA forums jisajili na utafute hiyo simu uone kama kuna developers wamaifanyia kazi.
 
nurbert nna nokia e6i sema nikugawie maana niliacha kuitumia muda mreeefu ipo pambo

Hahaha Mkuu Ntakutumia Saduku La Barua Inifikieeee Teh Teh Teh........... shiping Cost N juu Yangu
 
Last edited by a moderator:
kwa maana hii android 5 baadae sana kutoka,ila nimeshukuru wameongeza edition ya kiswahili kwenye hii 4.3 kidogo na sisi lugha yetu inapanda panda chati
 
mkuuu ila sidhani Itakua Complete Kiswahili.... maana Kwa Kauzoef Nlikopata kwenye Ios Ukkieka kIswahili Knakua Aplied Kwenye Vtu Vdogo Vdogo Kama Kalenda... saa Na Dictionary Pia Emails Na baadhi Ya sehem... ila sehem Nyngne N English Kama Kawa ,,, Na Makosa Yao Kwenye Saa Ile Am Na Pm am N asubuh Af Pm Alasiri Kasheshe Lake Mpaka Saa 5 Usiku Inaandika Alasiri Huwa Nakereka sanaaa.... then Tusubir Tuone Kwanzaaaa....
 
mtoa mada kasema additional language support zilizoongezwa mojwapo ni swahili,i hope nw yale mambo ya kupigiwa mstari ukiwa unaandika neno la kiswahili as kwamba halitambuliki yatapungua kama sio kuondokaa kabisa.
 
INTRODUCING MOTO X

moto-x02.jpg

INAKUJA SOON chief-mkwawa NA WENZAKO NAOMBA MUIREVIEW MKIPATA TIME TAFADHALI MAANA NASIKIA NI TISHIO LA S4​
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom