Angalia CSC code yako ndio itakujulisha simu yako ya region gani
Mkuu a10s je limi zinapokea android 11Angalia CSC code yako ndio itakujulisha simu yako ya region gani
Ndio. August mwaka huuMkuu a10s je limi zinapokea android 11
MkuuNdio. August mwaka huu
Haa🤣😃😂Mimi nimeipata ila haina maajabu mbona...!
Ndio, utofauti ni kidogo sana.Haa[emoji1787][emoji2][emoji23]
Hakuna Miracle
Hapana. Haipati Android 11. S6 mwisho ni Android 8.0Mkuu
Hebu Saidia Masuala Ya Ufundi Na Ubora
Kuna Samsung Galaxy S6 Used US
Inatumia Line Moja Nilikuwa Na Mpango
Niinunue Ina 32 GB. Je? Hii Kwenye Upande Wa Update Itapata Android 11
Kwasasa Hivi Bado Inaweza Kuwa Yenye Kufaa
Hakunaga tofauti kubwa kimuonekana siku hizi. OS karibia zote zimesha mature. Mabadiliko makubwa yako under the hood kwenye mambo ya APIs, security na optimizations.Mimi nimeipata ila haina maajabu mbona...!
OhooHakunaga tofauti kubwa kimuonekana siku hizi. OS karibia zote zimesha mature. Mabadiliko makubwa yako under the hood kwenye mambo ya APIs, security na optimizations.