FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,826
Hizo Pesa za Kukopa sio za kodi!
Kama huwezi kulipa utakopeshwa?
Hizo Pesa za Kukopa sio za kodi!
Kama huwezi kulipa utakopeshwa?
Mbona financial crisis ya 2007 ilisababishwa na mikopo kwa wale wasioweza kulipa?
Maskini ndio wanapendwa kwa mikopo haramu, see https://www.wonga.com/ !
ngoja niendeleze kidogo:-
* ladies ~ pantless
* boys ~ powerless
* wananchi ~ hopeless
* ccm ~ wezi
Nani alikudanganya kuwa Tanzania ni maskini? labda wewe.
ehh ndio, Tanzania ni nchi tajiri sana ...
Revenue - Royal Dutch Shell US$ 467.153 billion (2012)
Revenue - Volkswagen US$ 254.32 billion (2012)
Revenue - Samsung US$ 247.5 billion (2012)
GDP Malaysia $340.002 billion (2012-nominal)
GDP Indonesia $946.391 billion (2012-nominal)
GDP Tanzania $28.247 billion (2012-nominal)
Huo umaskini uko wapi?
You need help, Tuonyeshe utajiri basi?
Achana na barabara ambazo hazijalipiwa...
Asiye na macho haambiwi tazama. Kaa hivyo hivyo na upofu wako wacha sisi tuneemeke. Waswahili tuna msemo "usimuamshe aliyelala..." utajaza wewe!
Haha, Si ni wewe ambaye umetuambia kwamba Tanzania ni tajiri sana kiwango kwamba Symbion imeamua kuja kuwekeza?... Naomba unionyeshe utajiri wetu wa pesa za mkopo? Tafadhali... Mimi nimejaribu kukuonyesha kwamba hata kampuni zisizo na mali asili zimetuzidi.. wewe una sentensi mbili za blah blah na video ya utapeli wa Obama?.. Labda wewe unalipwa na NSA?.. Au Faizafoxy ni kundi la mashushu fulani wanaolipwa na NSA? lol.. Huna lolote la maana la kusema!
Hivi usha ya thathmini ale ma trllion ya cubic feet za Gas? usha ya thamini yale ma uranium? usha ya tathmini yale ma rare earth? au unakurupuka tu. Watoao mkopo wanajuwa watalipwa, hilo lisikusumbuwe wala usione usongo. Hata wewe leo hii kama unaonekana unaweza ukaulipa mkopo nenda kajichukulie tu, leo mabenki bwereree, ma saccos bwereree, kama ni Muislaam, mabenki ya sharia bwereree. Unanshangaza.
Hata USA na utajiri wake inadaiwa tena deni kubwa sana, au hujuwi hilo?
Kwa hio kwako ukisikia cubic feet trillioni za gesi unaelewa US$ trillioni? pole sana.... ukisikia uranium unapata nyege? Mbona Mali na Niger wana uranium ya kutosha kwa muda mrefu sasa.. watizame hali yao!? Watoa mkopo wakiona mtu/nchi ina nyege na mikopo, watahakikisha mkopo unapata kwa sababu watakukomoa vizuri kwenye small print ( see wonga.com) ... na wewe, na akili zako timamu, niambie kuna Mtanzania gani anayeweza kutuambia kwa uhakika kwamba kuna cubic feet trillioni za gesi kwetu?! Hakuna.
Huwezi kujilinganisha Tanzania na USA kwenye Madeni ya USA.. USA Ikiamua kutolipa madeni yake, nani atafanya kitu? labda wewe? Pembeni ya hayo, interest rate wamarekani wanalipa kwenye madeni yao sio sawa na sisi... Do you remember or have you ever heard of the south east Asian crisis?... Keep it up and you will feel it personally in your pocket unless you are paid by Obama!
Is that all!???
Ukiona mtu anaanza matusi ujuwe umemshinda kwa hoja.
Acha tabia ya kitoto, infantile attempt to divert from the topic, sorry, no can do! ... Wewe si unadai Tanzania ni tajiri sana kwa hio ni sawa tu watu walipishwe SIM tax? Yaani TZ ni tajiri kiwango tumeshindwa kupata USD 172 Mio tu ? Kama hauoni contradiction kwenye argument yako, pole sana. Na, kweli ukisikia cubic feet trillioni za gesi unaelewa dollar trillioni...