Andrew Chenge aka Nyoka mwenye makengeza kapotelea wapi?

End of an era (or) He's rebooting (or) perhaps he's calculating his next moves on coming back !!
 
Kama awajulikani kwa Jamii yetu au awajapora kodi zetu still kengeza ndie mkali wetu
Ooh kama unamaanisha wasomi wa hapa nchini waliosoma Havard kwa kweli sidhani kama yupo wa kumfikia Chenge kwa magumashi. Nilidhani unamaanisha na huko duniani...maana huko wapo wa kutosha tu
 
Ni wakili mbobezi aliyewahi kuwa mwanasheria mkuu wa serikali.

Pia ni mwanasiasa nguli aliyehusishwa kwenye kashfa nyingi za kifisadi nchini.

Kwa Sasa Andrew Chenge hasikiki kabisa.

Yuko wapi nyoka mwenye makengeza?
Alitest zali kwa tulia akala za uso
 
Hivi Benard Membe nae kapotelea wapi?
Nilijua alivyosherekea kifo cha jiwe angeonekana sana awamu hii?
 
Ni wakili mbobezi aliyewahi kuwa mwanasheria mkuu wa serikali.

Pia ni mwanasiasa nguli aliyehusishwa kwenye kashfa nyingi za kifisadi nchini.

Kwa Sasa Andrew Chenge hasikiki kabisa.

Yuko wapi nyoka mwenye makengeza?
Jioni mitaa masaki na O bey utamuona vijiwe moja baridi moja moto .....yupo sana tu Yaani.....benz yake Saafiii hana makuu
 
Hivi Benard Membe nae kapotelea wapi?
Nilijua alivyosherekea kifo cha jiwe angeonekana sana awamu hii?
VP 2025.....stay tune....!! Kama upepo hautabadilika mzee anakula gym daily kwa kipimo sahihi kujiweka fit....kwa nafasi hiyo pendwa
 
VP 2925.....stay tune....!! Kama upepo hautabadilika mzee anakula gym daily kwa kipimo sahihi kujiweka fit....kwa nafasi hiyo pendwa
Ooh,mwaka huo hata ccm haitokua kwenye kumbukumbu ya dunia nadhani.
 
Ha
Huyo mzee inafaa apewe tuzo bora ya kulitia taifa hasara. Ni moja ya wasomi waliotumia vibaya elimu zao kuliibia taifa na kukidhalilisha chuo cha Harvard, kwamba kimefundisha mwizi.
Harvard kasoma masters sio Degree ya kwanza.
 
End of an era (or) He's rebooting (or) perhaps he's calculating his next moves on coming back !!

Sina uhakika kama anaweza kurejea tena ulingoni kirahisi hivyo
 
Huyu Mzee wa vijisenti kwa kweli ameadimika sana. Nyakati kama hizi zinawafavour sana watu kama yeye. Sijui kapotelea wapi. Au uzee umemkaba koo?
 
Back
Top Bottom