Andrew Chenge ahukumiwa leo kesi ya Bajaj

anney

Senior Member
Jul 9, 2010
155
45
Mahakama ya Kinondoni DSM yamtia hatiani Andrew Chenge (Mbunge wa Bariadi) kwenda jela mwaka mmoja au kulipa faini ya laki saba. Amelipa faini ya laki saba. Haki???:angry:
source TBC.
 
Ndiyo hali halisi tutafanyaje? Jambo la msingi ni kuwa amehukumiwa kwa kosa alilotenda. Kuwa hukumu ni ndogo kwa sasa siyo issue issue ni kuwa amehukumiwa.
 
Mimi nafikiri kuna haki kwenye kulipa fidia katika makosa mengine. Lakini fidia ya Laki saba kwa roho za watu ambao walikuwa vijana wenye uwezo wa kuishi miaka mingi sana kupata kipato kwa familia zao haina mantiki.

Hiyo fidia ya laki saba ni uchuro tu hata pesa za mazishi tu hazijatimia.
 
Aisee, Thamani ya kumuuua MTU ni Laki saba kweli??
:frusty::frusty::frusty::frusty::frusty::frusty::frusty::laser::A S wink:
 
Je aliyehukumiwa anaruhusiwa kugombea uongozi wa kitaifa ikiwemo ubunge ambapo mahakama imethibitisha hatia yake, wanasheria ebu tupeni kidogo
 
Mambo ya kisheria sasa hapo wadau mtusaidie. Nijuavyo mimi huyu "mweshimiwa" kapatikana na HATIA kwa kosa aliloshitakiwa nalo. Hata kama adhabu inaonekana ni ndogo sana, Amehukumiwa kwenda jela mwaka mmoja au kulipa faini sh 700,000. Cha msing hapa ni kwamba hakushinda kesi. Ameshindwa!!!!!

Sasa moja kwa moja kwa utawala unaojali sheria huyu kapoteza sifa ya kuwa kiongozi - Mbunge. Tume inatakiwa itangaze jimbo lake kuwa wazi, na uchaguzi mdogo ufanyike.

Naomba kutoa hoja.
 
naungana na wewe! hilo jimbo liko wazi tokea mda ambao mahakama ilimpata A. Chenge na hatia so 2tangaziwe tarehe ya uchaguzi. Keshapoteza sifa ya kuwa kiongozi.:target:
 
sasa hatia gani hiyo waliyomkuta nayo basi twaomba pesa hiyo wapelekewe yatima pale kurasini au msimbazi centre au kambi ya wazee vijibweni wakale make hii ndo style ya TZ heri sisi mara huku ukichanganyikiwa unaenda kenya hata kwa baiskeli unafika unapata
people
in
love pilsner
should
not
entertain
rogies
baridi kabisa huku tukisikiriza nyimbo za baba moi sasa hivi kibaki aaa safi kabisa
 
naungana na wewe! hilo jimbo liko wazi tokea mda ambao mahakama ilimpata A. Chenge na hatia so 2tangaziwe tarehe ya uchaguzi. Keshapoteza sifa ya kuwa kiongozi.:target:

Lets imagine kama Chenge angeshinda na uspika.
Pia angeng'olewa na uspika pia?
CCM ni kiburi tuu au walishindwa kusoma alama za nyakati?
 
Kitendo cha kudanganya mahakama na ikafikia hatua ya kumkuta anakosa la kughushi nyaraka alipashwa aachie ngazi na atoe ushirikiano kwa police ili wawakamate wale waliompa nayaraka za kugushi kwani wanaikosesha serikali mapato na kuhujumu Taifa kwa kuwa watu waliokufa hawawezi kulipwa kwa kuwa bima yao ni batili
 
Ndio kosa lkafanya , amepewa hukumu , achen kulalamika wakati hatujui hukumu ilizingatia nini ,. Hivi mnajua hawa madreva wa baijaj walivyo wazembe na wasivyo jijali wanapo ingia bara barani?kwa yeyote anaye drive anajua hilo.
 
Back
Top Bottom