Andika maneno matatu yenye ujumbe mkubwa

Andika maneno matatu yenye ujumbe mkubwa

Naomba unieleweshe tafadhali
Ni afadhali ufanye uasi, vinginevyo utakufa. Katika maisha kuna wakati inabidi uwe muasi tu kwa baadhi ya mambo, hata kama jamii haikuelewi. Ukifuata kila jambo kama lilivyo utaishia tu kuumia, kisa unaogopa kuitwa muasi. Nadhani nimejaribu kufafanua.
 
Back
Top Bottom