Captain-Sparta
Senior Member
- Sep 9, 2016
- 175
- 172
Chura ananesanesa chura
weka kwanza kirefu cha hayo majina Acha uhuni wakoUnaruhusiwa kuandika chochote ila yasizidi maneno matatu
JPM KIONGOZI BORA
Haya twende kazi
Vp umeamka salamaUkweli kuntu hakika
Si ni kweli?Usimuonee Wivu Mwenzio.
Nimeamka salama kabisaVp umeamka salama
Vipi upande wako?Vp umeamka salama
Nimeamka salama pia.Vipi upande wako?
Ninyi ni MAJIPUTUUPINGE UDIKTETA UCHWARA
Hivi Mkuu hiyo signature yako ina maanisha nini?
Nini asili ya jina Nyani Ngabu?....lina maana gani?
Ndege za mapangaboi.
Vizuri kufahamu hivyo.Nimeamka salama pia.
Nambie ulienda kanisani
Na post hazijatokaTcu mungu anawaona