Hahahaha zawadi yake ni kuandika LOL.Huyo anayesema nimetoka kapa atakuwa hajaona hata hilo paja la Msela lilivyokaa kimagumashi!! Au unatoa zawadi kwa mshindi?
I think it's a same word with many meanings...Try your best not to use this word LoL ...one of its transilation is Lucifer our Lord..!!!
Uwiiii hakuna zawadiiiiiiiiiKama anatoa zawadi na aseme tu. Tuliowai mapema akidhubutu kutunyima haki yetu....enheheheee! 🙂
Thanks all the sameI think it's a same word with many meanings...
i meant Laugh out Loud.
Lol.... he nailed it.Nicca photoshoped this
Got u bro.Thanks all the same
[emoji23] [emoji23] [emoji119]Its no photoshop, she must be an indian goddess, see all the assets and mystical powers she got! Three hands is no big deal. 😀
Unasemaje??? Nimesikia kuna zawadi. Mnataka kuninyang'anya eeh? Ngoja tukachape stimu zetu na makamanda wenzangu. Tukirudi nakuhakikishia patachimbika hapa!!! Jk! [emoji23]Uwiiii hakuna zawadiiiiiiiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unasemaje??? Nimesikia kuna zawadi. Mnataka kuninyang'anya eeh? Ngoja tukachape stimu zetu na makamanda wenzangu. Tukirudi nakuhakikishia patachimbika hapa!!! Jk! [emoji23]
Sasa sijui huyo dada ana mkono wa ziada au...[emoji23][emoji23][emoji23]Nimeona mkono mweupe kiunoni kwa huyo kidume...Lol
Itakua anao mgongoni..hahaSasa sijui huyo dada ana mkono wa ziada au...[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha! [emoji38][emoji38][emoji38] Yaani badala ya kupewa zawadi yangu naambiwa nivae lenzi. Dah hakuna haki kabisa chini ya jua.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Itakua hujasoma maelekezo vaa lenzi mbonyeo... hahahaha pakichimbika mie ndukiiiiiiii.
Laugh Out Loud= LOL.Neno Lol maana yake nini?, tuanzie hapo kwanza
lolduh....
My ribs [emoji23][emoji23][emoji23] The World is fair coz it's not fair to everyone... lol confussion hunh?Hahaha! [emoji38][emoji38][emoji38] Yaani badala ya kupewa zawadi yangu naambiwa nivae lenzi. Dah hakuna haki kabisa chini ya jua.