Andika jina lako kwa Kijapani

Meikachido hahahaaa!
ila mkuu Elisha hii ni Kijapan ya wapi maana ninavyojua silabi na herufi za Kijapan zipo kama hivi:
a i u e o
ba bi bu be bo
da di du de do
... ... ... ... ...
halafu kila neno ktk hayo linakua na mchoro "character" wake.
 
kweli mkuu? hiyo nliyoiweka ndo orijino mkuu... hahaha
 
Rika-ririka-ki-ka! Walah nimecheka sana, maana hili jina langu kwa kijapani limekaa kama afandi wa JKT kigugumizi aliyehamaki!
 
A-ka, B-tu, C-mi, D-te, E-ku, F-lu, G-ji, H-ri, I-ki, J-zu, K-me, L-ta, M-rin, N-to, O-mo, P-no, Q-ke, R-shi, S-ari,
T-chi, U-do, V-ru, W-mei, X-na, Y-fu, Z-zi

shidorikazimeiku zushi= Ruhazwe JR ....mmm mwishowe tutabigwa ban kwa matus
 
Last edited by a moderator:
A-ka, B-tu, C-mi, D-te, E-ku, F-lu, G-ji, H-ri, I-ki, J-zu, K-me, L-ta, M-rin, N-to, O-mo, P-no, Q-ke, R-shi, S-ari,
T-chi, U-do, V-ru, W-mei, X-na, Y-fu, Z-zi

Jakaya Mrisho Kikwete - Zukamekafuka Rinshikiaririmo Mekimemeikuchiku

Mizengo Pinda = Rinkizikutojimo Nokitoteka
 
Back
Top Bottom