simuoni kuleta kombe la champions league hapo stamford bridge.zaidi mtakachofanya ni kumlipa mamilioni ya kuvunja nae mkataba next summer.
MTN hii kali kweliFergies once said something like no matter what they do, they will continue to be a small club in London
Eight manangers but two premier champs!!!!!!!!!!!!!!! Hii kali
fergie was right that they will remain underdogs
na bado media ya uingereza inamuandama wenger na kuhoji uwezo wake.
Hilo la lugha litamwangusha mapema kabisa,..
We mzee Wenger pia una matatizo mengi tuna bado media ya uingereza inamuandama wenger na kuhoji uwezo wake.