ANC wakinukisha kwa Wakoloni Afrika ya Kusini

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
36,981
2,000
Chama Kikongwe cha Afrika ya Kusini ANC ( African National Congress ) kinajipanga kubadili jina la nchi hiyo ambayo ni Afrika ya Kusini / South Africa kwa madai kwamba hilo jina haliakisi vilivyo nchi yao na kwamba wao kuendelea kuitwa South Africa ni muendelezo wa Sera zile zile za Wakoloni wao ambao wengi wao ni Makaburu.

Wanachama hao wa ANC walienda mbele na kujenga hoja kwa kusema kwamba kwa nchi yao kuitwa South Africa haielezi uhalisia wa nchi yao bali hilo jina linaelezea tu au linaelekeza Kijiografia kuwa wao wapo Kusini mwa Afrika hivyo wanajipanga kuipa nchi yao jina jipya kutoka hili la sasa la South Africa ambalo wanadai ni la Kikoloni zaidi na walipewa na hao hao Wakoloni.

Nini maoni yako juu ya Wanachama wa ANC kuamua kutaka kuipa nchi yao jina jipya?

Nawasilisha.
 
Sooth

JF-Expert Member
Apr 27, 2009
3,903
2,000
Kazi kubwa ambayo ANC imefanya baada ya kuchukua madaraka mwaka 1994 ni kubadilisha majina. Wamemaliza majina ya mitaa sasa wamehamia kubadilisha jina la nchi. Majina ni vijimambo tu, wafanye kazi wajenge nchi. Sio kuendelea kujipongeza kwa harakati za ubaguzi wa rangi kwa kupeana migodi na tenda huku wakibadilisha majina.
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
36,981
2,000
Hii thread kama hii ishaletwa humu tena Imeshiba haswa na wala sio kukinukisha kama heading yako humu thread iliyoletwa ni Jina wanalotaka libadilike nchi yao iitwe Azania kwani ndio jina la kiasili. Hakuna ukichowasilisha zaidi ya kujaza server tu.

Mod unganisheni hii thread
Acha kuwa na Kiherehere na kwa taarifa yako tu ni kwamba hii taarifa imetoka rasmi jana wakati Wanachama wa ANC walipokuwa katika Mkutano wao na nakuomba ufuatilie kutoka katika Vyanzo vyako vya huko Afrika ya Kusini kisha ujione jinsi ulivyo Hopeless. Na nimeandika hapo neno Kukinukisha nikiwa na maana kwamba Wajumbe wengi wa ANC walipokuwa mkutanoni walikuwa wanafura / wanagomba sana kwamba kwanini hadi leo hii jina hilo la Kikoloni limebaki?

Kila uchao nazidi tu Kukudharau na kamwe usidhani GENTAMYCINE nikija na thread humu huwa nakurupuka kama ambavyo Wewe hukurupuka pale unapoona nimekuja na uzi humu JF.

Na bahati nzuri Moderators wana akili kuliko Wewe na sidhani hata kama hilo ombi lako la Kipuuzi / Kiupupu watahangaika nalo.
 
Duduwasha

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
5,714

Kubadilisha jina sio kukinukisha acha ujinga wewe thread ishaletwa humu jana wewe leo umekurupuka kizembe tena habari haitoshelezi kama gazeti la Mawio... unatakiwa ifungiwe miezi 24 na huku pia. Hunaga la maana ambalo huwa unaleta au kuandika. Mtu akileta thread leo wewe kesho yake unaileta kwa heading tofauti... geza geza humshindi muingereza
 
gollocko

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
2,950

Duduwasha taratibu basi, kwani ugomvi
 
Mbwa ni Mbwa tu siku zote. Vipi mbona ombi lako mpaka sasa halijafanyiwa Kazi kama ulivyowaomba? Ulidhani na Wao ni Wapumbavu kama ulivyo watakusikiliza? Hata uje na ID ipi nakujua tu na kama kawaida nakupa majibu unayoyahitaji hasa ukizingatia kuwa hapa ndiyo Makao Makuu yake.
 
jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,394
2,000
Kubadilisha jina sio kukinukisha acha ujinga wewe thread ishaletwa humu jana wewe leo umekurupuka kizembe tena habari haitoshelezi kama gazeti la Mawio... unatakiwa ifungiwe miezi 24 na huku pia. Hunaga la maana ambalo huwa unaleta au kuandika. Mtu akileta thread leo wewe kesho yake unaileta kwa heading tofauti... geza geza humshindi muingereza
Tel dem one moo tyme!!!
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
36,981
2,000
Duduwasha taratibu basi, kwani ugomvi
Wala asikupe taabu kwani alipoingia kapataka mwenyewe na kama kawaida yangu siku zote Mtoto akililia Wembe huwa nampa tu ili umkate vizuri. Ana ID nyingine huyo ambayo bahati nzuri sana naijua hivyo anadhani akija pia na hii basi sitoweza kumjua wakati kumbe alipoamkia Yeye leo Mimi nimelala wiki iliyopita.
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
36,981
2,000
Tel dem one moo tyme!!!
Kwanini usinikabili Wewe kama Wewe ili nikupe nawe dozi yako na badala yake unadandia kwa Mtu mwingine? Ningefurahi sana Wewe kama Wewe ungenikabili Mkuu kwani huyo Laazizi wako tayari nakabiliana nae Mimi kama Mimi ila kama unapenda nikuunganishe nae sema tu.
 
Nilimaanisha "waongezee vidonge"

Nilitumia lugha ya masela wa jamaika, siunajua ziara za jk.
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
36,981
2,000
Peleka huko nyau wewe
Jogi Kinyarwanda ni sehemu ya Kunyea Fisi ( Kinyarwanda sehemu ya kutolea haja Kubwa Fisi inaitwa Jogi ) hivyo leo nimefurahi kufanya interaction humu na Kiungo cha kutolea Uchafu cha Fisi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom