Heci
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 3,684
- 6,409
Nina mvulana ambaye natarajia awe mume wangu. Uhusiano wetu una miezi nane sasa na tunaweka mambo sawa ili tuishi pamoja.
Miezi hii miwili amekuwa Na tatizo, akikaribia climax anapoteza fahamu na mapigo ya moyo yanakuwa chini sana kwa kipindi cha kama dakika 18-22.
Kuanzia mwezi huu umeanza nilimwambia simpi TAMU hadi twende hospital, tujue tatizo ni nini na tunalitatuaje.
Amekuwa mbishi sana kwenda hospital Na Kila siku anaibua kusingizia kipya.
Leo asubuhi nilitoka kwenda sokoni kununua mahitaji, safari yangu ilikuchukua kama dakika 50 ndio nikarudi nyumbani.
Nilipo fika nyumbani milango ilikuwa wazi, nikaenda jikoni na kubwaga mazagazaga yangu kisha nikaingia chumbani. Nilichokikuta kiliniacha mdomo wazi. Nikamkuta Mr suruali iko magotini, pembeni kuna Vaseline, dudu imejaa mafuta, Na amezimia. (Nadhani baada ya mimi kumnyima mwezi wote huu wa tatu akaamua kufanya punyeto)
Jamani naombeni msaada je hiki kinachomsumbua Mr ni ugonjwa wa kawaida, majini au amerogwa?
Nimeshindwa hii post yangu niweke jukwaa gani sahihi JF Dr. Au Jukwaa la mapenzi.
Moderator utanisaidia kwa namna itakavyofaa