msemakweli2
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 1,627
- 1,880
hapana mkuu sijalaInavyoonekana umeshamtafuna na sasa nafsi inakusuta unatafuta wa kukuunga mkono.
Dem anataka kujisafisha kwa mumewe kupitia Shem wakeBro usimwamini mwanamke kila anacho kueleza,
Wanawake huwa hawatongozi kwa maneno kama sisi tufanyavyo, ila wao huja na sababu na visa.
Huyo unaweza kukuta hana ugomvi na mumewe na kila kitu anapewa, ila katumia njia hiyo ili uingie kirahisi baada ya kushindwa baadhi ya njia.
Hii imetukuta wanaume wengi,Nikushauri ukae mbali na Huyo mwanamke bro,Wake za watu siku hizi ndo walivyo,wakitaka kuchepuka huleta sababu za hovyo ili usimwone ni Malaya.
hapana mkuu sijala
Naunga mkono hoja. Huyo mwanamke malaya tu huenda anadanganya ila anamtaka shemeji yake.Bro usimwamini mwanamke kila anacho kueleza,
Wanawake huwa hawatongozi kwa maneno kama sisi tufanyavyo, ila wao huja na sababu na visa.
Huyo unaweza kukuta hana ugomvi na mumewe na kila kitu anapewa, ila katumia njia hiyo ili uingie kirahisi baada ya kushindwa baadhi ya njia.
Hii imetukuta wanaume wengi,Nikushauri ukae mbali na Huyo mwanamke bro,Wake za watu siku hizi ndo walivyo,wakitaka kuchepuka huleta sababu za hovyo ili usimwone ni Malaya.
Asipokuelewa basi kashindikanaBro usimwamini mwanamke kila anacho kueleza,
Wanawake huwa hawatongozi kwa maneno kama sisi tufanyavyo, ila wao huja na sababu na visa.
Huyo unaweza kukuta hana ugomvi na mumewe na kila kitu anapewa, ila katumia njia hiyo ili uingie kirahisi baada ya kushindwa baadhi ya njia.
Hii imetukuta wanaume wengi,Nikushauri ukae mbali na Huyo mwanamke bro,Wake za watu siku hizi ndo walivyo,wakitaka kuchepuka huleta sababu za hovyo ili usimwone ni Malaya.
Kwa hiyo hapa umekuja tukuamulie whether umle au usimle?hapana mkuu sijala
mumewe namjua ni mskaji wangu ni malaya balaa,nimeshamshauri lakini hashaurikiBasi huyo atakuwa malaya tu. Unaweza kukuta mumewe ni mtulivu na hajishugulishi na michepuko ila yeye anakutafuta kwa tamaa zake za ngono. Temana nae mkuu.
Nenda ule afu ujehapana mkuu sijala
mumewe namjua ni mskaji wangu ni malaya balaa,nimeshamshauri lakini hashauriki
Mke atakuwa kiukweli anaumia, hasira na mihemko ya malipizi ndo inayomwendesha, inaweza kuwa kweli kaamua alipize akijua atatuliza machungu, na zaidi kaona akifanya na mtu wa karibu na mumewe atakuwa amemkomoa zaidi, mwambie hiyo sio busara, atafute kitu cha kufanya ata km ni juice au uji atafute genge auze, awe bize apoteze mawazo juu ya usaliti wa mumewe, kila akirudi jioni amechoka, anawaza atakuzaje mtaji, analala kesho anaamka na hekaheka za utafutaji, asimuulize tena mumewe kuhusu umalaya wake, ajikaze asioneshe hasira wala asiwe mgomvi kwa mumewe, aachane na mawazo ya kuchepuka maana hatokaa awe na amani. Kama ni mumewe ni mtu mwenye akili ataanza kubadilika mwenyewemumewe namjua ni mskaji wangu ni malaya balaa,nimeshamshauri lakini hashauriki