SHINYAKA
Member
- Oct 6, 2010
- 74
- 39
Wadau na wanajamii, heri ya mwaka mpya
Jamani kama kuna mwanajamvi anajua kuhusu Decorder hii naomba msaada:
1. Namna ya kufanya dish installation
2. Namna ya ku update
Nawasilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani kama kuna mwanajamvi anajua kuhusu Decorder hii naomba msaada:
1. Namna ya kufanya dish installation
2. Namna ya ku update
Nawasilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app