Anayepinga jitihada za Mh Rais kupigania maliasili zetu ni msaliti anapaswa anyongwe

comrade igwe

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
7,295
3,945
Haingii akilini kabisa kuona jitihada za kizalendo zinazofanywa na Mh Rais za kutetea maliasili zetu zikiigawa nchi kwa kupinga jitihada hizo, Kumekua na wanasiasa ambao sasa inapaswa kuchunguzwa maslahi ya kupinga jitihada hizo na ikigundulika dhambi ya usaliti wao ni vyema wakauawa ili wapishe mwendo na safari ya Tanzania mpya iendelee, mwanasiasa anadiriki kukosoa kila aina ya jitihada hizo ilikua ni vyema wananchi wote tukawa pamoja ili kutetea maslahi yetu badala ya kuwapa nguvu maadui.
 
114b21d2e8e0d2b06b0bbc70b7076047.jpg
naona wote wamevaa makhaki...yaani magwanda!
 
Sijamsikia anayepinga ila tu kuna wanaokataa kupiga vigelegele mpaka hapo itakapoeleweka. Watu million 50 hamwezi wote kuwa na mawazo sawa. Labda China wakati wa Mao. Wote wanamsupport ila wanataka kuona hatua hizi zifike kwenye kiini kabisa.
 
Tukiingiza siasa ktk vita ya kupigania rasilimali za nchi tutagawanyika na kuwa vipande vipande na ni rahisi kwa adui kutushinda
 
Haingii akilini kabisa kuona jitihada za kizalendo zinazofanywa na Mh Rais za kutetea maliasili zetu zikiigawa nchi kwa kupinga jitihada hizo, Kumekua na wanasiasa ambao sasa inapaswa kuchunguzwa maslahi ya kupinga jitihada hizo na ikigundulika dhambi ya usaliti wao ni vyema wakauawa ili wapishe mwendo na safari ya Tanzania mpya iendelee, mwanasiasa anadiriki kukosoa kila aina ya jitihada hizo ilikua ni vyema wananchi wote tukawa pamoja ili kutetea maslahi yetu badala ya kuwapa nguvu maadui.
 
Unaweza kukuta mtu wa kwanza anayetakiwa kuwa hanged ni huyo the so called mtetezi wa rasilimali za taifa pamoja na wapuuzi wenzie walioshiriki kupitisha mikataba
 
Back
Top Bottom