DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,291
- 29,485
Dr Sean Beer alitakiwa aanze yeye kujitundika kwa kuwa alishiriki kuutengeneza huu upuuzi wa makinikia.Wasaliti huwa wanajinyonga wenyewe..
Dr Sean Beer alitakiwa aanze yeye kujitundika kwa kuwa alishiriki kuutengeneza huu upuuzi wa makinikia.Wasaliti huwa wanajinyonga wenyewe..
Njoo nikugawie ukafulie kijani kibichi cha LumumbaPunguza povu..usije kuaspirate
Mv Daresalaam pamoja na bombardierTukimaliza hili tunakuja na makinikia ya nyumba za serikali
Aliyeuza nyumba za serikali inabidi awe amenyongwa! hasara iliyojeNLissu anafaa kuwa kwenye kitanzi muda huu
Lissu ndiye aliyesema ndiioooooo wakatu wa kupitisha sheria, au unamwongelea lissu yupi? mmelikoroga mlinywe wenyeweNLissu anafaa kuwa kwenye kitanzi muda huu
Kamuulize Sumaye kuhusu nyumba za serikaliUnaweza kukuta mtu wa kwanza anayetakiwa kuwa hanged ni huyo the so called mtetezi wa rasilimali za taifa pamoja na wapuuzi wenzie walioshiriki kupitisha mikataba
wapinzani Mwaka '98 walipinga hii kitu ya madini na walionyesha uzalendo kwa kutoka nnje ya bunge kupinga hii kitu.. wakati huo MR POMBE nae alikuwepo mjengoni na aliungana na waliotufikisha hapa leo kwa kushangilia na kupiga (hebu piga picha kama unamuona wakati anapiga meza kushangilia) meza kwa mikono miwili kuunga mkono sheria ya madini na huku akiwazomea wabunge wa upinzani wakati wanatoka nnje ya ukumbi. saasa tumuunge mkono vipi wakti naye alihusika kupitisha muswada huu unaotuumiza leoooo???Haingii akilini kabisa kuona jitihada za kizalendo zinazofanywa na Mh Rais za kutetea maliasili zetu zikiigawa nchi kwa kupinga jitihada hizo, Kumekua na wanasiasa ambao sasa inapaswa kuchunguzwa maslahi ya kupinga jitihada hizo na ikigundulika dhambi ya usaliti wao ni vyema wakauawa ili wapishe mwendo na safari ya Tanzania mpya iendelee, mwanasiasa anadiriki kukosoa kila aina ya jitihada hizo ilikua ni vyema wananchi wote tukawa pamoja ili kutetea maslahi yetu badala ya kuwapa nguvu maadui.
utanyongwa na Mungu, hutadumu ukubwaniHaingii akilini kabisa kuona jitihada za kizalendo zinazofanywa na Mh Rais za kutetea maliasili zetu zikiigawa nchi kwa kupinga jitihada hizo, Kumekua na wanasiasa ambao sasa inapaswa kuchunguzwa maslahi ya kupinga jitihada hizo na ikigundulika dhambi ya usaliti wao ni vyema wakauawa ili wapishe mwendo na safari ya Tanzania mpya iendelee, mwanasiasa anadiriki kukosoa kila aina ya jitihada hizo ilikua ni vyema wananchi wote tukawa pamoja ili kutetea maslahi yetu badala ya kuwapa nguvu maadui.
Bunge lilipitisha mkataba na acacia?lini na wapi?wapinzani Mwaka '98 walipinga hii kitu ya madini na walionyesha uzalendo kwa kutoka nnje ya bunge kupinga hii kitu.. wakati huo MR POMBE nae alikuwepo mjengoni na aliungana na waliotufikisha hapa leo kwa kushangilia na kupiga (hebu piga picha kama unamuona wakati anapiga meza kushangilia) meza kwa mikono miwili kuunga mkono sheria ya madini na huku akiwazomea wabunge wa upinzani wakati wanatoka nnje ya ukumbi. saasa tumuunge mkono vipi wakti naye alihusika kupitisha muswada huu unaotuumiza leoooo???
WAPAMBE SEMENI HAKUWEPO AU ALIINAMA CHINI ASIONEKANE
Bunge lilipitisha mkataba na acacia?lini na wapi?
Ni sheria ipi iliyoruhusu wizi wa makanikia?Lissu ndiye aliyesema ndiioooooo wakatu wa kupitisha sheria, au unamwongelea lissu yupi? mmelikoroga mlinywe wenyewe
Raisi anayepigania mchanga kusafirishwa na wakati huo madini halisi akiyaruhusu kwa moyo mmoja, unatwambia tumuunge mkono while wanufaikaji ni wao na siyo sisi ?? Jitafakari upya .Haingii akilini kabisa kuona jitihada za kizalendo zinazofanywa na Mh Rais za kutetea maliasili zetu zikiigawa nchi kwa kupinga jitihada hizo, Kumekua na wanasiasa ambao sasa inapaswa kuchunguzwa maslahi ya kupinga jitihada hizo na ikigundulika dhambi ya usaliti wao ni vyema wakauawa ili wapishe mwendo na safari ya Tanzania mpya iendelee, mwanasiasa anadiriki kukosoa kila aina ya jitihada hizo ilikua ni vyema wananchi wote tukawa pamoja ili kutetea maslahi yetu badala ya kuwapa nguvu maadui.