Mzee izo unazo zungumza n zile zina soma 4G iyo kitu ime simama ndo maana ika leta na 4G LTE baa mbili zisi kutisheeengoja wataalam wa IT waje hivi kweli bar mbili za network ziweze kutoa 4G tena faster? Isije ikawa unatumia zile simu ambazo hata kama hazina line zinaweka 4G
Mzee izo unazo zungumza n zile zina soma 4G iyo kitu ime simama ndo maana ika leta na 4G LTE baa mbili zisi kutisheee
google LG G3 at&t version US baby hiyoooonimestuka sana hahaha najua ilipaswa kuonesha moja kati ya lte, au 4g au h+ sasa simu yako inaonesha zote mh hebu tupe imei namba
Kaka mbona simcard zao ni bure kabisa, na mm natumia mtandao wa uko poa kabisa, tujaribu kuthamini vilivyo vyakula kwetu, majamaa wamejitahidi sana hasa ukiangalia price za products zao ni tofauti na mitandao mingineHawa TTCL mimi binafsi sijawahi kuwaamini hata siku moja,nimenunua SIM card yao nimeitupa tu magetoni.
Kaka mbona simcard zao ni bure kabisa, na mm natumia mtandao wa uko poa kabisa, tujaribu kuthamini vilivyo vyakula kwetu, majamaa wamejitahidi sana hasa ukiangalia price za products zao ni tofauti na mitandao mingine
haiwezi kunisaidia hiyo coz ukiweka 4G only ndio net haiji kabisa
Nimeshaitupa na line yenyewe kitambo kabla sijatoka huko tz kumbe mpk leo badooo tu mkuu[emoji41][emoji41] tz raha sana hahahahaMimi kwangu naona kwa sasa inasoma Roming tu, sijaona 4G kwa miezi kadhaa sasa na niko dar es salaam tena posta mpya hiyo roming ukitoa ndio balaa hata watsap haiwez kuingia
Iko poa sana kwaguMimi kwangu naona kwa sasa inasoma Roming tu, sijaona 4G kwa miezi kadhaa sasa na niko dar es salaam tena posta mpya hiyo roming ukitoa ndio balaa hata watsap haiwez kuingia
Niko Morogoro,Dakawa.Uko sehemu gani?
Otorong'ong'o kumbe upo?Kule kwenye mjadala wetu wa ukatoliki mbona umehama?TTCL ni washenzi sana.....
Ni takataka....sitaki kuwasikia...shirika la serikali lakini linafanya kazi kama Wakora na Wahuni...