Anayeogopwa na Serikali.

Lazima aogopwe huwa wanakuwa mafilauni hawa!
 
hawamuogopi wala nini ila ndio mlango wao wa kula pesa za walipa kodi.wanatuchezea movie tu hawa,hawana lolote.
 
Roho mbaya tu, anaogopwa na wanao msemasema hovyo. Kawakosa nini? Awe Mpemba au Mwarabu ana nini alilowakosea? Au kudai chake imekuwa nongwa?
 
Vyombo vyetu vya usalama vimekuwa kama mbwa koko, vinaogopa wezi na wavamizi, vikiamrishwa kufukuza wezi na wavamizi vinawageaukia wamiliki na kuwang'ata!
 
huyo ni geresha tu, wenyewe wapo hapa hapa bongo yeye kanunua kesi tu.
 
Roho mbaya tu, anaogopwa na wanao msemasema hovyo. Kawakosa nini? Awe Mpemba au Mwarabu ana nini alilowakosea? Au kudai chake imekuwa nongwa?

Mko wengi kweli....hata siku ya kugawana hiyo pesa mtaambulia ngawira tu
 
ingekuwa S.A ningemshoot huyu kibara wa serikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…