Kaka hivi ujumbe ukiwa mbaya wakulaumiwa ni nani? Je waweza mlaumu mpeleka ujumbe na kumwacha mtuma huo ujumbe?. Dr Mwakyembe hapo analaumu wapeleka ujumbe wakati watunga ujumbe wanakunywa soda baridi tuu.
Watu wanajiita magreat thinker na wala hawajui mipaka ya kazi. Mwakyembe hana resource za kuinterogate na kupeleleza wauza madawa hiyo ni kazi ya Nchimbi mambo ya ndani.