Anayempinga Kikwete si mzalendo


Hapa wana JF tunachangananya vitu viwili, U halisia na Itikadi za kisiasa. Naomba tuweke itikadi zetu pembeni na tuangalie uhalisia wa mambo ambayo ameyafanya JK. Uki post picha za wastaafu wa EAC na kusema hiyo ni failier ya JK, unakuwa humtendei haki na hata angekuwa ni Slaa (WPS) hali kama hiyo ingejitokeza na yeye alikuwa anafuata sheria na madai hayo yalitekelezwa kwa mujibu wa sheria.

Kila uongozi ni lazima uwe na vipaumbele, huwezi kufanya kila kitu na hasa katika nchi changa kama hizi za ulimwengu wa tatu. Kwa mtu mwenye upeo, atabaini kabisa kwamba vipaumbele vya JK ilikuwa ni kwenye Elimu na Afya ili kuweza kufungua mtanzania aweze kuziona raslimali zilizopo na aweze kuzitumia kujikwamua kutoka katika lindi la umaskini.

Awamu ijayo ni kuimarisha miundo mbinu na utalii, na kuimarisha zaidi sekta ya viwanda na hivyo kuongeza ajira katika sekta rasmi na isiyo rasmi. Lakini pia kilimo kitaboreshwa na kuwa bora na cha kisasa zaidi.

Nakusihi ewe mtanzania mwenzangu, usichezee kura yako kwa kuipoteza bure!! Mchague Kikwete ndiye mkombozi wetu, na mtetezi wa wanyonge.
 

Ndivyo unavyojidanganya! After all, Watanzania hawampingi Jakaya Kikwete. On the contrary wanampenda sana ila wanataka mabadiliko ili wawe na kiongozi mwenye utashi wa kisiasa na anayesimamia utekelezaji wa sera na siyo yule anayeziimba kwa moyo. "If I prefer A to B, it does not mean that I dislike B".
 
na huu ni uhalisia , mzee anakula matunda ya uhuru, hajui kwanini Tanzania ni maskini, wakati yeye na Salma wanakodoa macho koodo,
 

KANGARA sio pombe nzuri manake nadhani umeamka na hang over.
Bush na Obama wako wote hawana mpango labda mlioko nje ya US ndio mnawababaikia.
Kwa hiyo siku rais wa marekani akijakaa bongo wiki nzima basi ndio maendeleo? what kind of parameter is this?
Kama JK ni mchukia ufisadi basi mbona hata kuitaja EPA anaogopa kwenye kampeni zake?
Kwa nini alimnadi Chenge, Masha, Mramba na Rostam na Lowassa?
Shule kama utitiri bila walimu wala madawati maana yake ni nini?
Na hicho CHOOO KIKUU cha Dodoma ndio umeona ndio elimu?
Sio kila mtu ni mjinga kiasi hicho.
Nchi inaendeshwa uswahiliuswahili kama kijiwe cha pale Saigoni!
Bunge la wafungwa-Rage na waganga wa kienyeji-Prof.
Tutafika kweli? Acha kunywa kangara mkuu
 
na huu ni uhalisia , mzee anakula matunda ya uhuru, hajui kwanini Tanzania ni maskini, wakati yeye na Salma wanakodoa macho koodo,

No comment at the moment. Lakini tarehe 01/11/2010 Raisi wetu ni Dr Slaa.
 
na huu ni uhalisia , mzee anakula matunda ya uhuru, hajui kwanini Tanzania ni maskini, wakati yeye na Salma wanakodoa macho koodo,

Hivi kale kaugonjwa kanako mpataga na kuanguka kangempata huko kwenye bembea ingekuwaje?. Mimi nauliza tu wazee samahani.
 
Under Kiwete Tanzania imeendelea kuwa nyuma kimaendeleo even by East African Standards!
 
He is a gonner na HATUMTAKI.
yeyote anayemkubali KIKWETE siyo mzalendo
 
Good point Discoverer! Ila tu labda urekebishe kichwa cha habari hapo juu. Mimi sikubaliani 100% na sera za CCM/Kikwete, but I don't think hilo linanifanya mimi kutokuwa mzalendo. P.S. Inabidi watanzania tufike sehemu tujifunze kutoa credit where credit is due.
 

Credit gani unaongelea hapa?
Haya mambo ya generalization yanakuangusha kijana.
 
Mtoa mada kajifunze kwanza maana ya mzalendo au uzalendo.
 
Duh hii kiboko yao... nimecheka sana kuona bango la CCM nyuma ya huyu mzee mwenye ari na nguvu mpya akienda kwa kasi mpya.. hadanganyiki huyo udenda unamtoka kwa njaa ..
 
yangu macho maana watoto wote wanaokulakeki yao kupitia chama cha mapinduzi kupitia kwa uncler wak baba mama hawaelewi nini umuhimu wa changes!!!
 
baba wa familia kununua kilo ya nyama kwa familia yake si jambo la kujisifu, pia hafai kusifiwa na yeyote, akitokea mtu au watu wakamsifu ni wazi kuwa huyo au hao ndiyo waliomuuzia hiyo kilo ya nyama, kwani baba kulisha familia ni wajibu.
kikwete kanunua kilo ya nyama kwa familia yake na kwa bei kubwa mno kiasi kwamba ni vema kumshitaki kwa kufuja fedha za familia.
Bush kukaa siku kadhaa wakati dhahabu yetu inaondoka kupitia kiini macho cha vyandarua ndiko kununua kilo ya nyama kwa bei mbaya na huku ukililia kusifiwa. amepeleka ujenzi wa uwanja wa ndege wa kimataifa ujengwe bagamoyo, bandari bagamoyo, BAGAMOYO NI KWAO KIKWETE, wewe unamsifu kwa lipi? tumng"oe ikulu:decision:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…