Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katika mambo ambayo huwa siku zote yananishangaza, ni kuona hata mashabiki wa kikwete wana hoja za kitoto kama Kikwete mwenyewe. Hivi mtu mzima unakaa chini na kuanza kujisifia kwa kumlete Bush nchini na kupewa msaada wa vyandarua? Ulimbukeni gani huu? Hivi ina maana CCM na kikwete wenu uwezo wenu wa kufikiria ndo unaishia hapo tu, kufikiria zaidi misaada kuliko namna nzuri ya kuzitumia resources zilizopo ndani ya nchi ili kuwaongezea wananchi kipato na kuboresha maisha yao?
Ndugu watanzania wazalendo na wapenda maendeleo ya nchi yetu, wote tunatambua kazi nzuri aliyo ifanya Rais wetu kipenzi JK ndani ya miaka mitano yake ya uongozi. Ni ukweli usiopingika hasa kwa watu wote wenye akili timamu za watu wenye uwezo wa kupambanua mambo kuwa JK ameacha alama nyingi za kudumu hapa nchini na hamna mtu atakayeweza kuzifuta.
Heshima ya nchi yetu imezidi kujionesha kitaifa na kimataifa, Hakuna nchi africa ambayo rais wa marekani amekaa kwa muda mrefu katika ziara zake kama tanzania. Rais Bush na Obama ni mashahidi wa hili.
Alitoa mabilioni ya fedha kwa ajili ya wananchi kujikwamua kiuchumi na wote tu mashahidi wa hili. Shule za kata kila kona, chuo kikuu cha dodoma, machinga complex,Kigamboni new City, amewashughulikia mafisadi wa EPA, mpinga ufisadi, mchukia rushwa, mtu wa watu.
Tatizo lililojitokeza ni baadhi ya wasaidizi wake wamekuwa sio wazuri na hilo litashughulikiwa ipaswavyo miaka mitano ijayo.
Viva kikwete, nenda mwanakwetu wanao tuko nyuma yako.
May your star keep on shinning................. Bravo, bravo, bravo, .... Aluta continua..............
Happy Birthay baba yetu, Tanzanians loves you and we are all behind you dont give up!!
May God bless you and God bless Tanzania!!
na huu ni uhalisia , mzee anakula matunda ya uhuru, hajui kwanini Tanzania ni maskini, wakati yeye na Salma wanakodoa macho koodo,Hapa wana JF tunachangananya vitu viwili, U halisia na Itikadi za kisiasa. Naomba tuweke itikadi zetu pembeni na tuangalie uhalisia wa mambo ambayo ameyafanya JK. Uki post picha za wastaafu wa EAC na kusema hiyo ni failier ya JK, unakuwa humtendei haki na hata angekuwa ni Slaa (WPS) hali kama hiyo ingejitokeza na yeye alikuwa anafuata sheria na madai hayo yalitekelezwa kwa mujibu wa sheria.
Kila uongozi ni lazima uwe na vipaumbele, huwezi kufanya kila kitu na hasa katika nchi changa kama hizi za ulimwengu wa tatu. Kwa mtu mwenye upeo, atabaini kabisa kwamba vipaumbele vya JK ilikuwa ni kwenye Elimu na Afya ili kuweza kufungua mtanzania aweze kuziona raslimali zilizopo na aweze kuzitumia kujikwamua kutoka katika lindi la umaskini.
Awamu ijayo ni kuimarisha miundo mbinu na utalii, na kuimarisha zaidi sekta ya viwanda na hivyo kuongeza ajira katika sekta rasmi na isiyo rasmi. Lakini pia kilimo kitaboreshwa na kuwa bora na cha kisasa zaidi.
Nakusihi ewe mtanzania mwenzangu, usichezee kura yako kwa kuipoteza bure!! Mchague Kikwete ndiye mkombozi wetu, na mtetezi wa wanyonge.
Ndugu watanzania wazalendo na wapenda maendeleo ya nchi yetu, wote tunatambua kazi nzuri aliyo ifanya Rais wetu kipenzi JK ndani ya miaka mitano yake ya uongozi. Ni ukweli usiopingika hasa kwa watu wote wenye akili timamu za watu wenye uwezo wa kupambanua mambo kuwa JK ameacha alama nyingi za kudumu hapa nchini na hamna mtu atakayeweza kuzifuta.
Heshima ya nchi yetu imezidi kujionesha kitaifa na kimataifa, Hakuna nchi africa ambayo rais wa marekani amekaa kwa muda mrefu katika ziara zake kama tanzania. Rais Bush na Obama ni mashahidi wa hili.
Alitoa mabilioni ya fedha kwa ajili ya wananchi kujikwamua kiuchumi na wote tu mashahidi wa hili. Shule za kata kila kona, chuo kikuu cha dodoma, machinga complex,Kigamboni new City, amewashughulikia mafisadi wa EPA, mpinga ufisadi, mchukia rushwa, mtu wa watu.
Tatizo lililojitokeza ni baadhi ya wasaidizi wake wamekuwa sio wazuri na hilo litashughulikiwa ipaswavyo miaka mitano ijayo.
Viva kikwete, nenda mwanakwetu wanao tuko nyuma yako.
May your star keep on shinning................. Bravo, bravo, bravo, .... Aluta continua..............
Happy Birthay baba yetu, Tanzanians loves you and we are all behind you dont give up!!
May God bless you and God bless Tanzania!!
Toa hoja, acha jazba, kuwa mstaharabu!!
JF hiyo sio hulka yetu. Mbona mimi sijakutukana?
Mungu akusamehe kwa kuwa hujui ulitendalo.
masanilo wawekee picha waone uzalendo wa jk
na huu ni uhalisia , mzee anakula matunda ya uhuru, hajui kwanini Tanzania ni maskini, wakati yeye na Salma wanakodoa macho koodo,
na huu ni uhalisia , mzee anakula matunda ya uhuru, hajui kwanini Tanzania ni maskini, wakati yeye na Salma wanakodoa macho koodo,
kama wamefanana kidogo.
He is a gonner na HATUMTAKI.Ndugu watanzania wazalendo na wapenda maendeleo ya nchi yetu, wote tunatambua kazi nzuri aliyo ifanya Rais wetu kipenzi JK ndani ya miaka mitano yake ya uongozi. Ni ukweli usiopingika hasa kwa watu wote wenye akili timamu za watu wenye uwezo wa kupambanua mambo kuwa JK ameacha alama nyingi za kudumu hapa nchini na hamna mtu atakayeweza kuzifuta.Heshima ya nchi yetu imezidi kujionesha kitaifa na kimataifa, Hakuna nchi africa ambayo rais wa marekani amekaa kwa muda mrefu katika ziara zake kama tanzania. Rais Bush na Obama ni mashahidi wa hili.umenena vyema kabisa. moja ya alamu kuu ambazo hazitafutika milele ni kuukumbatia UFISADI kwa gharama yoyote ile pamoja na kuwa kiongozi anayedanganywa na wasaidizi wake kuliko woote
Alitoa mabilioni ya fedha kwa ajili ya wananchi kujikwamua kiuchumi na wote tu mashahidi wa hili. Shule za kata kila kona, chuo kikuu cha dodoma, machinga complex,Kigamboni new City, amewashughulikia mafisadi wa EPA, mpinga ufisadi, mchukia rushwa, mtu wa watu.
Tatizo lililojitokeza ni baadhi ya wasaidizi wake wamekuwa sio wazuri na hilo litashughulikiwa ipaswavyo miaka mitano ijayo.Viva kikwete, nenda mwanakwetu wanao tuko nyuma yako.Eti????? nani alimchagulia hao wasaidizi? na katiba inasemaje kuhusu hilo? ulitaka tumsaidie kuchagua wasaidizi?
May your star keep on shinning................. Bravo, bravo, bravo, .... Aluta continua..............
Happy Birthay baba yetu, Tanzanians loves you and we are all behind you dont give up!!
May God bless you and God bless Tanzania!!
Good point Discoverer! Ila tu labda urekebishe kichwa cha habari hapo juu. Mimi sikubaliani 100% na sera za CCM/Kikwete, but I don't think hilo linanifanya mimi kutokuwa mzalendo. P.S. Inabidi watanzania tufike sehemu tujifunze kutoa credit where credit is due.Alitoa mabilioni ya fedha kwa ajili ya wananchi kujikwamua kiuchumi na wote tu mashahidi wa hili. Shule za kata kila kona, chuo kikuu cha dodoma, machinga complex, Kigamboni new City, amewashughulikia mafisadi wa EPA, mpinga ufisadi, mchukia rushwa, mtu wa watu.
Good point Discoverer! Ila tu labda urekebishe kichwa cha habari hapo juu. Mimi sikubaliani 100% na sera za CCM/Kikwete, but I don't think hilo linanifanya mimi kutokuwa mzalendo. P.S. Inabidi watanzania tufike sehemu tujifunze kutoa credit where credit is due.