Anayempinga Kikwete si mzalendo

Discoverer

Member
Jul 16, 2009
58
12
Ndugu watanzania wazalendo na wapenda maendeleo ya nchi yetu, wote tunatambua kazi nzuri aliyo ifanya Rais wetu kipenzi JK ndani ya miaka mitano yake ya uongozi. Ni ukweli usiopingika hasa kwa watu wote wenye akili timamu za watu wenye uwezo wa kupambanua mambo kuwa JK ameacha alama nyingi za kudumu hapa nchini na hamna mtu atakayeweza kuzifuta.
Heshima ya nchi yetu imezidi kujionesha kitaifa na kimataifa, Hakuna nchi africa ambayo rais wa marekani amekaa kwa muda mrefu katika ziara zake kama tanzania. Rais Bush na Obama ni mashahidi wa hili.
Alitoa mabilioni ya fedha kwa ajili ya wananchi kujikwamua kiuchumi na wote tu mashahidi wa hili. Shule za kata kila kona, chuo kikuu cha dodoma, machinga complex,Kigamboni new City, amewashughulikia mafisadi wa EPA, mpinga ufisadi, mchukia rushwa, mtu wa watu.
Tatizo lililojitokeza ni baadhi ya wasaidizi wake wamekuwa sio wazuri na hilo litashughulikiwa ipaswavyo miaka mitano ijayo.
Viva kikwete, nenda mwanakwetu wanao tuko nyuma yako.
May your star keep on shinning................. Bravo, bravo, bravo, .... Aluta continua..............
Happy Birthay baba yetu, Tanzanians loves you and we are all behind you dont give up!!
May God bless you and God bless Tanzania!!
 
discoverer
Tatizo lililojitokeza ni baadhi ya wasaidizi wake wamekuwa sio wazuri na hilo litashughulikiwa ipaswavyo miaka mitano ijayo

sasa kwanini hao wasaidizi hakuwashughulikia miaka hii mitano ya mwanzo, wewe nawe , umetumwa ama yanatoka moyoni mwako.
 
Ndo ulicho discover hiki? Endelea labda utadiscover la maana zaid hili bado ni hewa tu!
 
...Rais MZALENDO atawataka wanachi wawe na UZALENDO na kuwaelimisha kuwa... wasitake nchi iwafanyiei kitu ... ila wajiulize wataifanyia nini nchi yao!!

Jiulize kwanini Kikwete hana ujasiri wa kuongea maneno hayo kwa Mtanzania yeyote leo hii!!

Kusema kikwete ni mzalendo ni upuuziii!!

Asiyempinga kikwete si mzalendo....
 
Ndugu watanzania wazalendo na wapenda maendeleo ya nchi yetu, wote tunatambua kazi nzuri aliyo ifanya Rais wetu kipenzi JK ndani ya miaka mitano yake ya uongozi. Ni ukweli usiopingika hasa kwa watu wote wenye akili timamu za watu wenye uwezo wa kupambanua mambo kuwa JK ameacha alama nyingi za kudumu hapa nchini na hamna mtu atakayeweza kuzifuta.
Heshima ya nchi yetu imezidi kujionesha kitaifa na kimataifa, Hakuna nchi africa ambayo rais wa marekani amekaa kwa muda mrefu katika ziara zake kama tanzania. Rais Bush na Obama ni mashahidi wa hili.
Alitoa mabilioni ya fedha kwa ajili ya wananchi kujikwamua kiuchumi na wote tu mashahidi wa hili. Shule za kata kila kona, chuo kikuu cha dodoma, machinga complex,Kigamboni new City, amewashughulikia mafisadi wa EPA, mpinga ufisadi, mchukia rushwa, mtu wa watu.
Tatizo lililojitokeza ni baadhi ya wasaidizi wake wamekuwa sio wazuri na hilo litashughulikiwa ipaswavyo miaka mitano ijayo.
Viva kikwete, nenda mwanakwetu wanao tuko nyuma yako.
May your star keep on shinning................. Bravo, bravo, bravo, .... Aluta continua..............
Happy Birthay baba yetu, Tanzanians loves you and we are all behind you dont give up!!
May God bless you and God bless Tanzania!!

umependa sura wewe...!

UNADHANI NYERERE ANGEKUWA IKULA NANI ANGEFANYA WIZI MKUBWA NAMNA HII...HALAFU APIGIWE KAMPENI NA NYERERE..>!!!!

USE UR BRAINS TO THINK NOT WITH UR TEETH.
 
Dirty+water.jpg
 
Katika mambo ambayo huwa siku zote yananishangaza, ni kuona hata mashabiki wa kikwete wana hoja za kitoto kama Kikwete mwenyewe. Hivi mtu mzima unakaa chini na kuanza kujisifia kwa kumlete Bush nchini na kupewa msaada wa vyandarua? Ulimbukeni gani huu? Hivi ina maana CCM na kikwete wenu uwezo wenu wa kufikiria ndo unaishia hapo tu, kufikiria zaidi misaada kuliko namna nzuri ya kuzitumia resources zilizopo ndani ya nchi ili kuwaongezea wananchi kipato na kuboresha maisha yao?
 
mashabiki wake wengi wanaongea kama wamekamata hii kitu
 
Ndugu watanzania wazalendo na wapenda maendeleo ya nchi yetu, wote tunatambua kazi nzuri aliyo ifanya Rais wetu kipenzi JK ndani ya miaka mitano yake ya uongozi. Ni ukweli usiopingika hasa kwa watu wote wenye akili timamu za watu wenye uwezo wa kupambanua mambo kuwa JK ameacha alama nyingi za kudumu hapa nchini na hamna mtu atakayeweza kuzifuta.
Heshima ya nchi yetu imezidi kujionesha kitaifa na kimataifa, Hakuna nchi africa ambayo rais wa marekani amekaa kwa muda mrefu katika ziara zake kama tanzania. Rais Bush na Obama ni mashahidi wa hili.
Alitoa mabilioni ya fedha kwa ajili ya wananchi kujikwamua kiuchumi na wote tu mashahidi wa hili. Shule za kata kila kona, chuo kikuu cha dodoma, machinga complex,Kigamboni new City, amewashughulikia mafisadi wa EPA, mpinga ufisadi, mchukia rushwa, mtu wa watu.
Tatizo lililojitokeza ni baadhi ya wasaidizi wake wamekuwa sio wazuri na hilo litashughulikiwa ipaswavyo miaka mitano ijayo.
Viva kikwete, nenda mwanakwetu wanao tuko nyuma yako.
May your star keep on shinning................. Bravo, bravo, bravo, .... Aluta continua..............
Happy Birthay baba yetu, Tanzanians loves you and we are all behind you dont give up!!
May God bless you and God bless Tanzania!!

Gabachori utamjua tu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom