Anayemjua Samwel Dismas Lymo, amepata ajali Mikumi

Anayemjua Samwel Dismas Lymo, amepata ajali Mikumi

iST kwenye high way, inatakiwa usiwe speed sana, gari ni nyepesi na kuhama barabarani ukiwa speed ni rahisi sana, kama huna uzoefu tafuta dereva..... Lala salama kamanda
IMG-20190728-WA0017.jpg
HII NDIYO GARI ILIYOMWUA HUYO RAFIKI YETU,,,,,,,HATARI SANA,MUNGU AMPE PUMZIKO JEMA KTK SHAMBA LAKE MILELE YOTE🙏🏻🙏🏻
 
Ni mwanafunzi wangu kwa miaka minne. Nimepata huzuni kubwa. Alikua kijana mwenye nishamu sana. Really tears.
Mwaka 2016 nilikua namuona kibaha huyu broh kipindi hicho alikua na nyota mbili alikua nandinga moja laheshima sana ukizngatia najinsi alivyopanda hewani hakika alikua namwonekano wakikamanda na alikua mtu poa sana ..
R.I.P commrade
 
Tunaonunua magari na hatuna uzowefu wa mwendo mrefu tujifunze kutembea kwa tahadhari hizo safari ndefu, tusitake tukimbie kisa tu umeona barabara ndefu hakuna gari unanyoosha goti ili hali huna uzowefu wa kukimbia au kuimudu gari endapo kitu chochote kitajitokeza

Ukiwa umejifunzia gari uwanja wa mpira na safari zako za ofisini kwako kisha nyumbani usijaribu kabisa kutoka nje ya mji safari ndefu na ukawa na mwendo kasi ili hali ujazoea hiyo safari.

R.I.P AFANDE
 
Poleni familia.
Ili kupunguza ajali ni kujua chanzo cha ajali na namna ya kudhibiti ila tukiendelea kuwa wabishi ajali zitazidi kuleta maafa. Asilimia 95 ya ajali sababu ni Mwendo kasi
 
Dah RIP.

Wamiliki wengi wa hivi vi "baby walker" ukishajifunza pale mtaani unaona unaweza long route, pia hivi vidude vikipishana na gari kubwa high way vinakua less stable especially at high speed..hapo ujumlishe na road zetu zenye mawimbi hatari tupu.

Tuchukue tahadhari wakuu.
 
Dah! Jamani, madereva msio na uzoefu wa kutosha, epukeni kuendesha kwa mwendo mkali muwapo highway... Apumzike mahala pema peponi marehemu wetu!
Kweli mzee kwa mana gari inatabia moja ..kama likiwa kwenye speed kali na jinsi ya kuli contro ni jinsi nyingine sana..gani ikiwa speed upepo unavyopambana na wewe kukutoa kwenye lami unaujuwa kabisa...kwenye lami ambayo inavibondebonde unajuwa hata kama tairi moja haina upepo sawa na nyingine unajuwa..vyuma vinasuguwana mpaka unahisi gari imekuwa nyepesi ...hayo yote yanatakiwa kuyajuwa kwa mana safari ndefu sio mchezo wazee skieni tu .. Mungu aileze roho ya marehemu mahala pema poponi Amein
 
DOM/TR/RB/73/19 /// TAARIFA YA AWALI /// AJALI YA MAGARI MAWILI KUGONGANA NA KUSABABISHA KIFO /// MNAMO 28/07/19 SAA 05:00HRS HUKO KIJIJINI MANGAE BBARA YA MORO---IRINGA GARI NO. T 341 DMV TOYOTA IST LIKIENDESHWA NA CAPT. SAMWEL DISMAS LYIMO JWTZ, 37YRS, IKITOKEA MOROGORO UELEKEO IRINGA ILIGONGANA USO KWA USO NA GARI NO T 697 DMH/T 223 DMK SCANIA SEMITELA ILIYOBEBA MBAO IKITOKEA MAFINGA KUELEKEA DSM LIKIENDESHWA NA HUSSEIN S/O NYIKA MBENA 36YRS WA MAKAMBAKO NA KUSABABISHA KIFO CHA CAPT. SAMWEL DISMAS CHANZO NI MWENDO KASI WA GARI T 341 DMV TOYOTA IST NA KUHAMA BARABARA .TUKIO LIMEKAGULIWA NA INSP. SHABANI AKISAIDIWA NA D 6420 SGT ALLY /// TAARIFA KAMILI INAFUATA /// MWISHO /// TOKA POLISI K DOMA.
huu uandishi ni kiboko ///mwiso///toka room kwangu.
 
Back
Top Bottom