Anayemiliki mabasi ya Kilimanjaro ni Tajiri wa ajabu kweli kweli

Mabus ya Dar - Arusha huwa ni mazuri siku zote kwsbb hiyo route ina ushindani mkubwa sana

Ukiweka mabus mabovu hakuna abiria atapanda
Kwa Kilimanjaro Express hali ni tofauti kabisa kwa miaka hii ya karibuni, amefilisika lakini mmiliki ana ng'ang'ania kukomaa hivyo hivyo.
Kwa sasa Kilimanjaro Express 80% ya mabasi yake ni chakavu mnoo, ni mikangafu ya kubebea mkaa.
 
Hii kampuni niliizika Rasmi na kuachana nayo pindi Tu TAHMEED alivoanza Arusha>Dar,,Kilimanjaro wajanja wajanja wana jina kubwaa ila kazi hamnaaa.....BM kaja na operation maalum na amelikamata soko tayari Ni Muda wa Kimanjaro Exp kujitafakarii mwenzie Dar Express kasanuka kahamia kwa wachina
Mimi nikiwa na akili timamu siwezi kupanda Kilimanjaro... Bora waniue.

Kampuni nyingi Kongwe zinaendeshwa kizamani Kisanii sanii
 
Kwa Kilimanjaro Express hali ni tofauti kabisa kwa miaka hii ya karibuni, amefilisika lakini mmiliki ana ng'ang'ania kukomaa hivyo hivyo.
Kwa sasa Kilimanjaro Express 80% ya mabasi yake ni chakavu mnoo, ni mikangafu ya kubebea mkaa.
Jamaa ni bahili tu pesa anayo sana,anazo semi tipper zaidi ya 50..yeye ndio kasuppy kokoto za mwendokasi kariakoo to kimara..anamiliki crusher kubwa lugoba
 
Back
Top Bottom