Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 23,410
- 36,560
😁😁😁
😁😁😁 akupikie pia
Unalipa hata change huulizi
akupikie pia
Hata ninapoishi kuna jamaa ameshamzalisha dada alikuwa anazungusha mboga, soon wataoana,story yake inachekesha sana,siku ya kwanza alinunua mboga zote,akambembeleza ampikie kakawa kamchezo,Dada alikuwa anatumwa na mama,ila anaishia kwa msela.....jamaa kamaliza udsm last year....mwaka huu anaoa na tayari binti ni preg....ila nikisu sana mkuu
Kuna msela wngu mmoja alikamatiaga mdada mmja alikuwa anatembeza ndizi za kuiva na mihogo machungwa,si unawajua wale
Hyo mdada alikuwa na shepu Sema kuku wa kienyeji basi msela akawaanamwambia ampeleke home kwake basi hko akilishwa mihogo mbichi na show wanapeana
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh....Hata ninapoishi kuna jamaa ameshamzalisha dada alikuwa anazungusha mboga, soon wataoana,story yake inachekesha sana,siku ya kwanza alinunua mboga zote,akambembeleza ampikie kakawa kamchezo,Dada alikuwa anatumwa na mama,ila anaishia kwa msela.....jamaa kamaliza udsm last year....mwaka huu anaoa na tayari binti ni preg....ila nikisu sana mkuu
Mimi nilinunua debe zima la ulanzi pale Uyole then demu akawatangazia wateja wengine kuwa ulanzi umekwisha. Nikabaki napiga show.mkuu ishawahi nikuta hii nilinunua beseni nzima la ndizi
Siyo wasumbufu,budget wanaijua😁😁😁Duh....
Wale wanakuwaga visu alafu maisha wanayajua
Naona jamaa wa udizm kakolea
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
😁😁😁mkuu ishawahi nikuta hii nilinunua beseni nzima la ndizi