Anayelijua soko la bidhaa hii tupeane ramani

Chukwu emeka

JF-Expert Member
Jan 12, 2018
23,404
36,542
FB_IMG_1547305459354.jpg
 
Kuna msela wngu mmoja alikamatiaga mdada mmja alikuwa anatembeza ndizi za kuiva na mihogo machungwa,si unawajua wale
Hyo mdada alikuwa na shepu Sema kuku wa kienyeji basi msela akawaanamwambia ampeleke home kwake basi hko akilishwa mihogo mbichi na show wanapeana

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata ninapoishi kuna jamaa ameshamzalisha dada alikuwa anazungusha mboga, soon wataoana,story yake inachekesha sana,siku ya kwanza alinunua mboga zote,akambembeleza ampikie kakawa kamchezo,Dada alikuwa anatumwa na mama,ila anaishia kwa msela.....jamaa kamaliza udsm last year....mwaka huu anaoa na tayari binti ni preg....ila nikisu sana mkuu
 
Duh....
Wale wanakuwaga visu alafu maisha wanayajua
Naona jamaa wa udizm kakolea

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom