Anayekutawala amekuzidi Akili

Mimi hapa sipo kujifariji kama ni hivyo ningesema waafrika ndio jamii yenye akili kushinda zote ila nimetumia utafiti wa kimataifa ambao unaikataa hata jamii yangu na kuwaweka hao wachina, wajapan na wakorea ni wapi hapo napo jifariji ?

Taitizo ni kwamba tayari unaamini mabavu ya kupora ardhi na kuweka watu vifungoni ni akili hauna tofauti na watawala wengi wa kale wanao amini imperialism ni ujanja na wengine wanamawazo kama hayo hadi sasa nawe ni mmoja wao.
 
Mpaka Wanatawala Nchi yako, kabila lako, ukoo wako, familia yako kwa zaidi ya miaka 60 bado Uulize swali kama hilo?
Katika kundi la wasio na akili, basi wana nafuu, ila haiondoi ukweli kuwa wana ccm ni kundi la watanzania ambao kwa ujumla wetu IQ iko chini sana, so hatuwezi kusema ccm wana akili sana.
 

Akili ni akili hata kama ni ya haki au Haramu.
Hapo ndipo unaponikosa.
 
Hii ni kwa mujibu wako pekee nafikiri

Iko hivyo.

Wewe tengeneza utakavyotengeneza lakini hivyo ulivyotengeneza na wewe mwenyewe kama unatawaliwa na mtu fulani basi elewa wewe na hicho ulichotengeneza mnazidiwa akili na anayewatawala.

Unafikiri kuongoza na kutawala dunia ni jambo rahisi kama kubuni hizo teknolojia?
 
Katika kundi la wasio na akili, basi wana nafuu, ila haiondoi ukweli kuwa wana ccm ni kundi la watanzania ambao kwa ujumla wetu IQ iko chini sana, so hatuwezi kusema ccm wana akili sana.

Wanaakili sana kuzidi wanaowatawala(sisi) kama ulivyosema sisi wengi wetu tunaupeo mdogo
 

Hapo tuko pamoja akili ni muhimu katika yote, lakini jambo la kuzingatia ni kwamba; kuwa na akili ni jambo moja, pia matumizi bora ya akili (ujuzi kwa ujumla) ni jambo lingine. Ukiwa na akili nyingi lakini huna hekima, bado haitoshi.
 
Haya.

Hawa ni World Bank wanasema hivi
Hawa ni abc news wa marekani wanasema hivi
Hawa ni New York times marekani wanasema hivi
Hawa ni Cambridge University toka Uingereza


Products and Services

Discover Content



  • Home





  • Home
  • >Books
  • >In the Know
  • >Racial/Ethnic Group IQ Differences Are Completely Environmental in Origin

28 - Racial/Ethnic Group IQ Differences Are Completely Environmental in Origin​

from Section 6 - Demographic Group Differences
Published online by Cambridge University Press: 22 October 2020
Russell T. Warne
Show author details

Chapter
Book contents
Get access
Share
Cite

Summary​

Of all the scientific facts about intelligence research, there is one that I would give anything to change: the existence of average differences in IQ scores across different racial or ethnic groups. These differences appeared in the early days of intelligence testing (e.g., Goodenough, 1926; Morse, 1914; Pressey & Teter, 1919) and have persisted into the twenty-first century (e.g., Carman, Walther, & Bartsch, 2018; Giessman, Gambrell, & Stebbins, 2013; P. L. Roth et al., 2001). Among the most studied racial or ethnic groups, people of East Asian descent usually have the highest average IQ, followed by people of European ancestry.

TypeChapter
Information
In the Know
Debunking 35 Myths about Human Intelligence
, pp. 247 - 263
DOI: https://doi.org/10.1017/9781108593298.030[Opens in a new window]
Publisher: Cambridge University Press
Print publication year: 2020

Wewe huo utafiti wako umepatia wapi na umefanyeje ?
 
Akili ni uwezo wa kujua, kutambua, kuchambua, kugundua, kuvumbua, kukumbuka, kuhifadhi vitu au jambo ili kutatua changamoto Fulani.

Ni tafsiri sawa/sahihi ya akili. Sasa yote haya yanakuwa na maana iwapo utakuwa na uwezo wa kuyatumia vizuri katika kuongoza. Uwezo wa kutumia vizuri akili tulizo nazo, ndiyo inaitwa hekima. Kuwa na akili pekee hakumfanyi mtu kuwa bora.
Na ndiyo maana over the recently, kuna discussion kuhusu hard skills vs soft skills. Wanasema hard skills can help you to be hired, but soft skills (such as interpersonal skills) can make you stay in the contract and get promoted to higher levels.
Hivyo akili na hekima ni vitu vinavyotegemeana, lkn wakisema kipi ni muhimu zaidi, ni hekima.
 
Kama wazungu walivyotuzidi akili, kupuuza imani zetu za jadi na kuamini za kwao. Hapo tuliburuzwa kama unavyomdanganya mtoto kwa pipi. Hakika wametuzidi akili kwa kila kitu.

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Huo uwezo wa kumnyima silaha ndio akili zenyewe.
Kama Watu wangeacha Nature iamue Watu wasingerusha ndege angani au kutembea na meli baharini.
Wajinga ndio huwa na mawazo kama hayo.
Kumzidi mtu akili haimaanishi kuwa yeye hana akili kabisa. Maelezo yako yanaupotoshaji fulani kwa makusudi au bahati mbaya. Anayekutawala kwa sehemu Fulani atakuwa ana nguvu za kisheria, silaha, pesa ama kakutana na mazingira wezeshi.

Mfano ukutane na mtoto wa tajiri awe ndio boss wako, ni wazi atakutawala, sio kwakuwa ana akili kuliko ww, bali mazingira yamembeba. Mfano huo ni sawa na ccm, wanatawala sio kwakuwa wana akili sana kuliko vyama vingine, bali sababu za kihistoria na katiba mbovu ndio zinazowabeba.
 
Wanaakili sana kuzidi wanaowatawala(sisi) kama ulivyosema sisi wengi wetu tunaupeo mdogo
Hawana akili, wangekuwa nazo basi walau wangeonyesha kwa vitendo kutatua changamoto za jamii yao, hawana akili hata kidogo. Tena wana upumbavu mwingi, sema wapo kwenye kundi la wengi wenye IQ ndogo so wanaonekana wajanja, wenye akili, ila kiuhalisia, wakipelekwa huko kwa walio na akili watatia aibu.
 

πŸ˜€πŸ˜€
Wapo kwaajili ya kutatua changamoto zao na sio zenu.
 
πŸ˜€πŸ˜€
Wapo kwaajili ya kutatua changamoto zao na sio zenu.
Basi hawana akili, kuwa na akili ni pampja na kujua upo nafasi gani, unatakiwa ufanye nini ili kutatua changamoto za watu wako. They're just stupid!!!
 

..katika mazingira yaliyo ya usawa ktk ushindani ndipo inayoweza kusema mshindi amewazidi wenzake akili.

..Ccm ni sawa na mtahiniwa anayeiba mtihani, anaibilizia majibu, na amehonga wasimamizi wa mtihani.

..mtahiniwa wa aina hiyo anapofaulu kuzidi watahiniwa wenzake huwezi kusema amefanikiwa kwasababu ya kuwazidi wenzake akili.

..sijui kama umenielewa lakini?
 
Anakuwa amekuzidi nguvu na si akili. Anaweza akawa anakuzidi akili pia, ila siyo lazima
 
Umesahau kuwa hata Israel kupewa msaada na marekani kuwashinda waparestina ni akili kwanini waparestina hawaupati?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…