Anayekupenda

Anayekupenda

Crystal field theory

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2014
Posts
953
Reaction score
413
Habari wakuu

Hivi inakuwaje kwa mdada anayekupenda san alafu kwenye mambo ya 6*6 ukawa hauko vizuri kivile, yaani anakupenda sana, nauliza wadau mwisho wake hua ni nini? Kumbuka yeye kukuacha hawezi.

Nawasilisha
 
Hawezi kukuacha kwa kigezo gani kwanza!!?? Legelege kitandani halafu unaringia sura ambayo hata mbuzi anayo??? Mwisho wake ni kuchapiwa tuuu...
 
eti hapo unauliza uitakuwaje? labda uwe na hela kama mengi atakuvumilia nakugingwa siri
 
Ni kweli huna jibu ndio maana unauliza?
 
Ataendelea kukupenda na mtaendelea kumegana kwa mazoea ya wapenzi lakini linapokuja suala la kumegwa kwa kuridhishwa fahamu hiyo haitakuwa assignment yako... mbona simple tu!
 
Ivi kutokua vizuri ni sababu Ya uvivu Kwa mwanamme au hua hataki kujua au maradhi? Manake unaweza kujifunza Kwa wenzio, pesa huna kiiivyo Na service mbovu aekwe na lipi?
 
Sasa si ujifunze na ubadilike, au na wewe kubadilika hutaki unaona sifa, basi mwache achume hela kwako wengine watamweka sawa kitandani
 
Chini ya hili jua kila mtu amaweza kiacha na kuachwa so ...mfundishe mambo 6 kwa sita..siku akimaster utajutia y hukumfundisha mapema
 
sasa atakuwa amekupendea nini pesa????...coz mwanaume hapendewi sura
 
Sasa si ujifunze na ubadilike, au na wewe kubadilika hutaki unaona sifa, basi mwache achume hela kwako wengine watamweka sawa kitandani

KAMA SIJUI "KUMRUSHA MAJI" ATANIRUHUSU NIKAJIFUNZE KWA MWINGINE? MAANA SAA INGINE MAFUNZO MENGINE BILA "PRACICAL" KWA MTU WA JINSI NYINGINE HAYAWEZEKANI :shocked:
 
Kama kweli anakupenda , swala la 6,,6 Litakua less considered kabsa because pamoja nakua kwamba kufanya mapenz nisehemu ya mapenz ,but i thnk she cant betray u for the reason of being less in sita kwa sita
 
Back
Top Bottom