Anayekijua vizuri chuo cha Lindi COTC naomba anisaidie haya

big007

Member
Sep 15, 2022
6
5
Naombeni kujua sifa za chuo cha Lindi COTC yaani ufaulu wake, na taaluma yake kwa ujumla mazingira yake na changamoto kiujumla ya vyuo vya afya hasa CO
 
Nenda chuo ww.. chuo kipo kati kabisa ya mji.. upepo wa bahati Hadi madarasani.. unataka nn tena..?
 
Naombeni kujua sifa za chuo cha Lindi COTC yaani ufaulu wake, na taaluma yake kwa ujumla mazingira yake na changamoto kiujumla ya vyuo vya afya hasa CO
Karibu sana Lindi, moja ya vyuo vitatu bora kabisa vya afya ngazi Ya cheti na Diploma japo sifa yake imepungua siku hizi kutokana na uongozi wa chuo .
 
Back
Top Bottom