Anayejua viwango vipya vya mshahara atujuze

Anayejua viwango vipya vya mshahara atujuze

Joined
Jul 14, 2016
Posts
14
Reaction score
6
Habari zenu wapendwa hivi Kuna mwenye kujua new government salary scale zitakazo anza kutumika mwezi wa saba atujuze? Niwatakie kazi njema
 
Mimi sijajua bado na nipo Kwenye Shirika Fulani hivi nguli ila hakuna tetesi zozote
 
Bora iwe siri wenye nyumba wametega masikio hili watupandishie kodi.
 
Back
Top Bottom