Nehemia Isaya
Member
- Aug 6, 2021
- 8
- 4
Naomba msaada, utaratibu gani hutumika katika ununuzi wa Bondi za BoT na kiasi cha chini cha kununua Bondi ni Tsh. ngap na je ununuzi wa Bondi za BoT unaweza kupata faida kila mwezi?
Mi niliendaga kuulizia, wakasema minimum number of bond certificates ni 100, na kila certificate inathamani ya 40,000.
Kwahiyo minimum unatakiwa ununue bond cert za thamani ya 4,000,000/=.
Mimi nilikua na milioni tisa na point hivi. Nikaja badili mawazo dakika za lala salama, hela yote nika-invest kwenye Cryptocurrency. ilikua 2018 hiyo.
Naomba msaada,utaratibu gani hutumika katika ununuzi wa Bondi za b.o.t na kiasi Cha chini Cha kununua Bondi ni sh ngap na je ununuzi wa Bondi za b.o.t unaweza kupata faida Kila mwezi?