Mkuu ukiona unatumia nguvu sana kufanya kitu basi ujue huna akili unatumia nguvu badala ya kichwa. There is always an easy way of doing things. Kutype kwa kuongea inawezekana sema lafudhi inabidi iwe nzuri na kwa Kiswahili ni ngumu, may be kingereza, kifaransa, nna lugha nyingine za kimataifa.Watanzania wavivu sana,
Acha hiyo kazi aje kufanya mwingine ambae hataona kazi kufanya kazi
Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
HihihihiSasa ole wako uwe na kiingereza cha kisukuma utaielewa show
Kwny hiyo pic palipoandikwa dictate ukibonyeza ukianza kuongea inatype yenyewenielekeze mkuu
Ok umetumia itatatibu gani tafyameandikwa sema thank nimefanikiwa
Bungeni wanatumia app gani!?
Google Docs na Microsoft word lates zote zinakubali sema shida zinakubali kwa lugha kama kingereza na kifaransa na uwe na tone ya kueleweka siyo unatamka maneno kwa kuyakosea utadhani unatamka lugha yako ya asiliHELLO
Habari wana jamvi mimi nimepata shida kidogo mahali nilikuwa nimepewa kazi moja ila kwa kweli ni kubwa mno.
Nina makaratasi hapa kama yote na yameandikwa kwa lugha ya kingereza sasa nilikuwa nataka software nzuri kwa ajili ya kunisaidi kurahisisha kazi, mimi niwe naongea tu yenyewe iwe ina type.
Shida nikuwa nimejaribu hii ya pc ilaimegoma na hapa nimejiunga GB za kutosha.
Asante.
[emoji1787][emoji1787]Sasa ole wako uwe na kiingereza cha kisukuma utaielewa show
Natumia Google Docs iko poa sana saivi nachukua kazi za kutoshaGoogle Docs na Microsoft word lates zote zinakubali sema shida zinakubali kwa lugha kama kingereza na kifaransa na uwe na tone ya kueleweka siyo unatamka maneno kwa kuyakosea utadhani unatamka lugha yako ya asili
Umeacha forex?Natumia Google Docs iko poa sana saivi nachukua kazi za kutosha
OCR software ndio zipi hizo mkuu?naomba ufafanuziKwanini usitumie OCR software yoyote badala ya kuongea? Scan hayo makaratasi yatageuka kuwa maandishi, then wewe malizia kwa kufanya format za hapa na pale.
Ocr ni kifupi cha Optical character recognition, ni software zinazoweza kutambua maandishi toka kwenye picha.OCR software ndio zipi hizo mkuu?naomba ufafanuzi
Ok,Je hizi software zinafanya kazi kwenye PC tu au hata simu?Ocr ni kifupi cha Optical character recognition, ni software zinazoweza kutambua maandishi toka kwenye picha.
Zipo professional soft zinafanya hii kazi na zipo software za kawaida kama one note incase kazi yako ni ndogo.
Hata kwenye simu, last time natumia office lens kwenye simu ilikuwa na OCR.Ok,Je hizi software zinafanya kazi kwenye PC tu au hata simu?
Asante mkuuHata kwenye simu, last time natumia office lens kwenye simu ilikuwa na OCR.
Ingia tu playstore search hilo neno litakuja.
Google doc ni appNatumia Google Docs iko poa sana saivi nachukua kazi za kutosha