Anayejua mishahara ya TBC

David Goliath

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2018
Posts
949
Reaction score
1,895
Niko hapa naangalia TBC hawa watangazaji ni kama akili zao zimepigwa ganzi hamna la maana linaongelewa Leo ni miaka60 ya uhuru wa Tanganyika mbali na mafanikio Kuna mapungufu lkn wao wamekaa kuimba minyimbo na kusifia Kwa kujipendekeza, au mishahara Yao ni mikubwa inafanya wajipendekeze ili kulinda ugali?
 
Hata kama ungekuwa ni wewe usingesifu ukose mlo?
 
Kwa kifupi TBC ni mainstream media ya serikali, kazi yake kubwa ni ku brainwash wananchi kwa manufaa ya serikali iliyo madarakani kwa kutumia propaganda.

Kwa taarifa yako media zote za serikali duniani kama BBC, CNN, Al Jazeera n.k, zipo kwa ajili ya maslahi mapama ya mataifa yao.

Cha msingi ujifunze kuwa sio kila unachokisikia ndio kilichopo isipokua uelewe kwamba media zimejaa na kujengwa kudanganya, kupotosha pia kuelimisha kwa maslahi yao wenyewe.
 
CNN ni ya serikali gani? Maana trumph na cnn walikuwa na uadui kama wa bush na osama
 

Unaiangalia nini? Kama ambavyo siwezi angalia film za sex ndo namna siwezi angalia TBC
 
TBC wanaongoza kwa ajira za kupeana (kujuana) usitegemee weledi
 
That state television for you. Lack of creativity, hakuna kujiongeza, same old script everyday
 
Watu wa ajabu Sana,waswahili husema utakula ulikopeleka unga,unataka wamsifu DJ na ghaidi Mbowe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…