Anayejua kozi nzuri za afya na chuo kipi wanaweza soma hapa nchini

Marek18

Member
Apr 26, 2020
20
17
Wana jukwaa natumaini mpo salama muda huu na poleni kwa majukumu ya kila siku.

Niende moja kwa moja kwenye mada husika.

Nina wadogo zangu (mmoja ndo mdogo wangu wa damu na wawili ni rafiki zake na mdogo wangu) wamemaliza form six mwaka huu na matokeo yao ni kama ifuatavyo.

Baraka(mdogo wangu)
Physics "C" chemistry "C" Biology "C"

JUMA
Physics "B" chemistry "C" Biology "C"

AMOS
Physics "C" chemistry "D" Biology "C"

Sasa kwa ufaulu wao huo nilikua naomba msaada kwa anayejua kozi nzuri za afya na chuo kipi wanaweza soma hapa nchini...

Natanguliza shukurani
 
Back
Top Bottom