Anayejua jins ya kutumia join air tafadhali

Bakulutu

JF-Expert Member
Nov 30, 2011
2,544
1,760
habar jf,
Kw anayejua jins ya ku install na kutumia joi air anaisaidie kwan ukifungua ndan ya folder lake kuna ico ya istall na kuna sub folder limeandkw Data ndan yake pia kuna setup ss unaistall ip na vp kuhusu setup ya moderm unaitumia au???
shukran.
 
install join air kwa kutumia setup yake...itafute inaweza kuwa hiyo install au setup. ukisha install join air hauna haja ya kuinstall program ya modem. utainstall modem kama kutakua na driver znazomiss lakin ni vizur ukiinstall hata modem ila utaizuia hyo program ya modem kufunguka pale unapochomeka modem ili kuiacha join air ifanye kazi. Kumbuka: join air ni kwa ajili ya modem za ZTE tu.
 
Ok .Nashukuru
 
Back
Top Bottom